Jamani Hali ya Zanzibar na Muungano si Shwari

subutu
subutu huo moto wake mtauwezaaa sisi tutaanzia dar kushusha hivyo vigorofa nya bot,nssf na vidara vya mkoloni mashambuliz kutokea ndan. subutu kurusha kombora znz utazame wat next?

Kwa jeshi gani?
 
Dah kama wazenji mnaubavu vunjeni muungano, me nashangaa kila day mnalalamika hamuutaki then vitendo sivioni, kinachowashinda nini? Kama nyie mnajiamini fanyeni matendo, lakini 40 hamzipati kama hamuamini muwaulize waganda.
 
Mimi naona bora ya hayo mabasha mashoga kuliko ushenzi na kutostarabika hadi kuwaua binadamu wenzio kama vile malbino kwa imani eti kuwa utatajirika kitu hiki hakifanyiki popote duniani isipokuwa bongo tu hi nikuonesha kuwa wabongo mpaka leo ni washamba tu wasokwenda na wakati. Shame on you.

Mlipowauwa wenzenu kugombania madaraka mlijiona wa mjini sana?
 
Wajitenge tu ila kupata m 40 eti bandar ya dar,tanga na mtwara wasahau cz wamezoea vya kupewa na kulalamika....wajitenge ata kesho asubuh wanatunyonya
 
Nendeni mkatoe maoni ya katiba mkijua kuwa mnaandika katiba ya tanganyika sio TZ it is over.hakuna tena nchi inayoitwa tanzania tushaifuta tangu 2010 july .
Tunacho subiri ni kumaliza maandaliz ya taasisi kamili za dola ya znz ambayo tushaitangaza kabla. Amkeni tanganyika.
JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.

Wacheni kujidanganya mabwege nyie,znzbr siku zote inadance another man's tune,haiwezi hata kujitawala na siku wakijaribu kufanya hvyo nakupa miaka 7 tu serikari itakayo tawala itapinduliwa na waislamu wa msimamo mkali na ccm znzbr wanajua hilo ndo mana hawataki kutengana.hivyo visiwa aliwezea sultani tu,hapo hata tukitengana na CUF ikawatawala bado itapinduliwa tu si muda mrefu,kwa sababu ya religious fundamentalism,
kinachowaangisha leo wazanzibari ni kitu kidogo sana kinachoitwa ethnic nationalism,ni kweli wanaweza kujitenga lakini waelewe wa2 wetu walioko znzbr tutawarudsha bara na wao waznzbr,wapemba wote itabidi warudi kwao,hatutafanya kosa la kuwapa uraia hawa sababu ukiwapa uraia unajitengenezea time bomb,hakuna m2 anayeweza kuwa na double royalty,aipende tz bara na znzbr hapo hapo ni lazima atapendelea zaidi sehemu moja na hii ni hatari sana kwetu kwa sababu siku ikitokea ugomvi kati yetu na znzbr kuhusu labda mpaka,uvuvi na utafiti wa mafuta,mashushu wa znzbr watawatumia waznzbr waishio huku ambao watakuwa na uraia wa huku kusabotage mipango yetu na kutudhoofisha kiuchumi,ni bora tuwabakishe hapa kama investors na nyumba zao waziuze hasa wapemba kabla hawajaondoka kwao chake chake.
Nasema muungano ukifa hadi na mizizi yake pia itabidi kufa sisi watz bara hatutakubali kusikia wbara waliochukua uraia znbr wanateswa na wala waznz hawatakubali kusikia waznz waishio huku wanateswa hii itakuwa chanzo cha mahusiano mabovu,nashauri mpemba,mznzbr waliooa huku na kuzaa na wanawake wa huku hawatapewa uraia kama wanaweza wawabebe watoto wao na wake warudi nao kwao znzbr na hili hawawezi kulifanya sababu ya ubaguzi wa rangi walionao,mpemba akioa bara haruhusiwi kumpeleka mke huyo kwao wanamtenga na akienda wanaweza hata kumwua kwa njia yeyote hile na ushahidi upo.Kuhusu kutengana mi sina wasiwasi nako kwani najua tutatengana tu kama siyo 2013 ni 2015 hakuna mjadala ila viongozi we2 wamekuwa wakiubembeleza sana huu muungano ambao mi sioni faida yake huku bara wanasema hela zote za mapato znzb zinachukuliwa bara mi naona ni kama uongo tu kwani mapato ya znzbr hata ya kawa makubwa kiasi gani hayawezi kufikia kinachopatikana mwanza kwa siku hapo sijataja dar na arusha.
Wanchofanya wa znzbr ni mbio za sakafuni tu kwani kanchi kao kalivokuwa kadogo baada ya miaka 2 ya kutengana watakuja tu na sisi tutawakamata kama tunavyowakamata wasomali na waethiopia hapa.na tutawatupa gerezani,znzb ni ndogo na haina kwa kuhemea watu tu wailokuwepo znzb hadi sasa hivi wengine hawana sehemu za kujenga hapo bado hatujawarudisha kwao waznzbr waishio bara bado waliokimbia mateso ya karume kama wakimbizi ulaya na uarabuni hawajarudi,wakisharudi wao tu basi znzb itakuwa imeshajaa na hakuna kwa kujenga wataanza kujenga hadi kwenye makaburi.
Mtazamo wangu ni kwamba muungano haufai tena ni bora uvunjke umeshafikia turning piont,climax sasa hauwezi kuendelea tena kwani pande zote mbili zimekosa kuaminiana waznzbr wanawatukana wa bara na kuwabagua kama vile sio wao walioishi nao siku zote na kuazimana vitu,leo si kitu cha ajabu kumwona mpemba akienda saloon akimwona m'bara amemaliza kunyoa basi yeye hataki kutumia mashine hiyo hata ikisafishwa na ukimwuliza kwa nini anasema hawezi kuchangia mashine na machogo waafrika hata kama yeye mwenyewe ni mwafrika mweusi pee asiyechanganya damu hata kidogo,leo si hajabu kumwona mpemba au muunguja mweusi kama mkaa akijiita MWARABU MWEUSI,hii ni kasumba ya waafrika wote duniani na ndo race pekee ulimwenguni inayokataa identity yake.hili lilianza kwa wangazija wakajiita waaraba hapo zamani wakaomba hadi uanachama Arab League wakapewa sasa leo hii wa znzbr kinawauma kuona wa2 weusi wenzao kama wao wameingia kwenye umoja wa kiarabu,na wao muungano unawazuia tena wanasema kuwa wao wanahafadhari kuliko hata wangazija sababu wao walikuwa wanatawaliwa na sultani na wakati sultan anatawala wao walikuwa automatically waarabu feki weusi.
Ukienda marekani leo hii utakutana na wamarekani weusi karibia wote kama wangekuja huku afrika harafu wakakwambia sisi ni wasukuma hautakubali kabisa wala kuwaita waafrika kwani hawafanani na waafrika lakini bado wanakubali kuitwa waafrika na wanaupenda sana utambulisho wao huo.sembuse wabantu na watumwa waliostaafu wa unguja na pemba wengi wao ni wabantu kabisa utasikia wanajiita waarabu,hivi unafikiri kuna mwarabu gani au muhindi gani akubali akuozeshe wewe binti yake hata kama ukiwachotara hakuna atakayekubali,na ndiyo maana karume alishaona ubaguzi huu kwa sababu alikataliwa kuozwa binti wa kiarabu akaamua awaoe kwa nguvu.
Kuhusu kwamba hela zinatoka Oman kuja kusponse chokochoko hiyo inaukweli lakini hazitoki kwenye utawala wa oman bali zinatoka kwa wazanzibar waliiokimbia mateso na hali ngumu ya karume sasa ndo wanaanzisha hizo chokochoko zao sababu wanaogopa kurudi.sultan Qaboos ni mmoja wa vioongozi bora sana duniani yeye sera yake ni kutokuwa na ugomvi na nchi yeyote wala kuingila siasa za nchi yeyote,ndo maana oman ina amani tofauti na qatar na saudi arabia huwezi kusikia gaidi Oman sababu hawataki ugomv na mtu,ni vigumu mtu kama qaboos mwenye mahusiano bora nchi yetu kusikia kasponsa kitu kama hicho.
Kitu kimoja cha kuongezea oman's oil reserve nafikiri kwa sasa inaanza kudecline na uchumi wa Oman asilimia 70 au 80 inategemea mafuta na sasa yanakwisha hivyo pamoja na sera za urafiki za qaboos kama anaoa utawala wake unaweza kuanguka anaweza kushawishi znzb ijitenge pia ili kwamba apate kuyapata hayo mafuta ambayo anajua kabisa znzb ikiwa ndani ya muungano hawawezi kuyapata.sina uhakika kama oil reserve yao itaweza kufika hata 2050.
Waomani sasa hivi wako tayari kuoa wahindi weusi,waindonesia na mabelushi kuliko kuoa mwafrika anayejipendekeza na kujiita mwarabu.waznzbr ni waafrika hata wakatae lakini historia itakuja kuwasuta.
Tena tusisahau kwamba znzbr ni kisiwa jamani TSUNAMI ikipiga na kukimeza kisiwa chote kama vile japan watatuomba misaada tu oman iko mbali sana nao mbona wao ni wateja wetu tu kama vile komoro kila siku wanakuja kununua hadi unga wa kupikia hapa dar.
ANGALIENI JAMANI ZISIJE ZIKAWA MBIO ZA SAKAFUNI,ISIJE IKAJA KUWA MAJUTO NI MJUKUU OOOOOOH.

 
kijana wacha kasumba hizo sema kweli,! sio tabia nzuri mtu mzima kusema uongo hakuna cha muoman anayedhamini vuguvugu la ukombozi wa Wanzibar tutoka katika jinamizi hili lililopachikwa jina la muuungano, ni Wazanzibar wenyewe tu wameona bora wawachiwe wapumue kutokana na dhiki na mayanyaso na dharau zetu mnazotufanyia!

wewe kweli ni mfinyu wa mawazo, unachekesha kweli kweli muoman gani muda huu anetamani kuja Zanzibar, kisiwa kimekaa kama jaa, elewa kuwa wao wanachimba mafuta na uchumi wao upo juu sana na kama hujui wamarekani ndio walinzi wa ufalme wao, soma zaidi kijana na ndipo uje na kasumba zetu za kipumbavu kwenye forum, hii! watu na watanganyika wenzako walio weledi wanakucheka maana na wao wanajuwa kina ubaga hali ya Zanzibar na miongoni mwao wanatuunga mkono, kijana kasome tena! huu sio wakati wa kuuneza chuki! cc tunachodai ni haki yetu tu hakuna zaidi!
 
Watangannyika kazi uongo na kujikweza, kujisifu, wizi na ufisadi wa kupindukia.

Wazanzibari wanataka chao sio tuwapindishie, eti watapinduana, watapigana, watakosa umeme, watasambaratika, watadrop kiuchumi na upuuzi mwengine.

Sasa kama wao wenyewe wameamua kujitoa kwenye muungano nyinyi mananga'nga'nia nini huko Zenji, au tuna hofu ya Wapemba wakiondoka hapa Kariakooo uchumi utaporomoka hapa Tanganyika ???????????????????????????????????


Muamsho kaza Buti Waachie Watanganyika na Ufisadi wao
 
bora ya mwarabu kuliko mbara
Kweli mtoto wewe si riziki!Mtakapoona mmejitenga mjue ndo mwisho wa uislamu zenj na kisiwa kubaki aidha kitupu au wakriso tu maana oic sio kipaumbele kwa sisi waabara na ni tishio maana kila palipo oic hakuna amani so hakuna oic wala ujinga wa oic
 
kijana wacha kasumba hizo sema kweli,! sio tabia nzuri mtu mzima kusema uongo hakuna cha muoman anayedhamini vuguvugu la ukombozi wa Wanzibar tutoka katika jinamizi hili lililopachikwa jina la muuungano, ni Wazanzibar wenyewe tu wameona bora wawachiwe wapumue kutokana na dhiki na mayanyaso na dharau zetu mnazotufanyia!

wewe kweli ni mfinyu wa mawazo, unachekesha kweli kweli muoman gani muda huu anetamani kuja Zanzibar, kisiwa kimekaa kama jaa, elewa kuwa wao wanachimba mafuta na uchumi wao upo juu sana na kama hujui wamarekani ndio walinzi wa ufalme wao, soma zaidi kijana na ndipo uje na kasumba zetu za kipumbavu kwenye forum, hii! watu na watanganyika wenzako walio weledi wanakucheka maana na wao wanajuwa kina ubaga hali ya Zanzibar na miongoni mwao wanatuunga mkono, kijana kasome tena! huu sio wakati wa kuuneza chuki! cc tunachodai ni haki yetu tu hakuna zaidi!

Sema ukweli wewe nani kakwambia oman uchumi wao upo juu acha kuongea ya kusikia tu ushafika oman? na unajua inavyoitwa wewe? Basi "OMAN na YEMEN ndo sickmen of the Arabia" kama ulikuwa hujui,uchumi wake unategemea asilimia 75 mafuta na oil reserve waliyonayo sasa haifiki hata 2060 itakuwa ishaisha ndo maana Sultan Qaboos kaanzisha PLAN 2020 kureshuffle uchumi wake usitegemee mafuta sababu yanaisha karibuni.
mnasema mnataka mpumue hivi bila muungano huo mngekuwa mnapumua sasa hvi?unajua wewe kwamba karume alipochukua madaraka alisema redioni sitaitisha uchaguzi kwa muda wa miaka 50 nitatawala nayo inaishia 2014.
unajua kisa cha hao wapemba kukimbilia bara wewe,kwanini walikimbia kwao na wakaona afadhali bara kuliko znzbr?
tatizo lenu waznzbr hamna shukrani na sisi tukitengana tunatoa grace period ya mwaka 1 na nusu tu wapemba wote na wanznbr waliojenga na wenye mali zisizohamishika bara waziuze na kama waliooa bara waondoke kwao na watoto wao tuone kama kisiwa hakitajaa kile hadi mkose kwa kujenga.
 
HAWAJAKAZWA, WAO WAISHIE KWENYE HIZO MILE 40 na Zanzibar; ila wasije kudhania muungano utavunjwa; wao wanaotaka kujitenga wajitenge kwa kufanya shughuli zao katika maeneo wanayopenda (ZANZIBAR NA COASTAL STRIP) bila kubugudhi wenziwao. Wasituzingue MAMAMAMAMAMAMAMAMAMAZAAAAAAAAAAAAO
 
Wadau nimepata taarifa kutoka Zanzibar, hali mbaya. Wazanzibari hawataki muungano kabisa, wametawanya mabango kila sehemu wakitangaza kwamba hawataki muungano.

Waarabu wa Omani ndio wanaosponsor harakati hizi ili muungano ukivunjika wajiunge na OIC harafu waarabu warudi tena.

Wanadai pia kwamba mipaka harisi ya Zanzibar inahusisha mile 40 za ukanda wa pwani ya Tanzania bara, kwahiyo muungano ukivunjika wanachukua babdari ya Mtwara, Dar na Tanga.

Nadhani itabidi muanze kuatafuta sehemu ya kujenga BOT, wazo la kuhamishia ofisi za serikali Dodoma linaweza likawa na mashiko balaa.

Zanzibar hali si shwari

Kwa kutumia Mabango, waendelee watakavyo, vurugu na matusi ya rejareja hatutaki na hiyo hadithi ya maili 40 ni ngano za Abunuwasi.
 
Back
Top Bottom