Mtanganyika.Nakubaliana na wewe kuhusu umuhimu wa brand kwenye biashara.Lakini kwa habari ya AZAM-Ngoja nikupe changamoto ya kufanya uchunguzi ni kwa jinsi gani brand hii inafahamika sasa hivi barani Africa.
kwa kukusaidia tu,sasa hivi bidhaa za AZAM zinafahamika Nchi zote za Africa Mashariki na kati.SSB sasa hivi wanaviwanda nchi nyingi zingiwemo Uganda,Malawi na kwingineko.Na hawajaanza jana au leo.soma hapa uone walianza kufahamika nchi za nnjei tangu lini AfricaNews - Wheat milling to help Malawi beat export expenditure - The AfricaNews articles of Mtheto Lungu
nafkr unahitaji kunywa kunywaji kinaitwa Tango kipo..huku mbefele ni zaidi ya coke aisee.....aroma ya coca cola is the best
world wide kuna mavinywaji ya cola mengi sana
kafunika mbaya akuna cha sippy mpango mzima wala sayona wala coca cola kila m2 ni azam cola ila tu zile malt zake zimenishindwa testi yake alafu zote ni full kemikali tu
Binafsi naona wanazidi kutuua...hizo lita zote ziingie mwilini ni hatari, itabidi tunywe lita 10 za maji for dilution kwa kila fundo.