Jamani Azam cola nomaaaaa......

Azam cola kiwango, kilichonifurahisha hata chupa yake ni kiwango. Haifanani na sayona.,atumain itauza sana 2!
 
kafunika mbaya akuna cha sippy mpango mzima wala sayona wala coca cola kila m2 ni azam cola ila tu zile malt zake zimenishindwa testi yake alafu zote ni full kemikali tu
 
sio kweli kuwa azam cola nzuri! ina sukari nyingi,sumu kibao,(presevative)Ushauri nunua blender tengeneza healthy natural juices wewe mwenyewe.Maisha haya unatakiwa kuwa mtumiaji mwenye upeo Dunia imekuwa mahali hatari!!
 
Mtanganyika.Nakubaliana na wewe kuhusu umuhimu wa brand kwenye biashara.Lakini kwa habari ya AZAM-Ngoja nikupe changamoto ya kufanya uchunguzi ni kwa jinsi gani brand hii inafahamika sasa hivi barani Africa.

kwa kukusaidia tu,sasa hivi bidhaa za AZAM zinafahamika Nchi zote za Africa Mashariki na kati.SSB sasa hivi wanaviwanda nchi nyingi zingiwemo Uganda,Malawi na kwingineko.Na hawajaanza jana au leo.soma hapa uone walianza kufahamika nchi za nnjei tangu lini AfricaNews - Wheat milling to help Malawi beat export expenditure - The AfricaNews articles of Mtheto Lungu

Kaka labda nikupe brief kidogo ninachofanya, am venture capitalist, na naangalia next big business Africa nzima. Azam na fujo zake amefikia market share ya 4% only. hii ni namba ya IMF and world Bank, na niwe mkweli ni kwamba Azam ana lose pesa in many ways sababu ya market strategy zake. I wish akubali kuwapa "consultant" nafasi ili wamshauri sababu Azam ina chance ya kuwa the largest company in the world, lakini for now he is a small business.
 
aroma ya coca cola is the best

world wide kuna mavinywaji ya cola mengi sana
nafkr unahitaji kunywa kunywaji kinaitwa Tango kipo..huku mbefele ni zaidi ya coke aisee.....
 
cha yule mwenye best nite, pale best bite eti hakuna soda zingine zaidi ya sayona,inaboaga sana ukiagiza chips eti lazima na kasayona kwa pembeni no other vinywaji may be maji
 
kafunika mbaya akuna cha sippy mpango mzima wala sayona wala coca cola kila m2 ni azam cola ila tu zile malt zake zimenishindwa testi yake alafu zote ni full kemikali tu

Yah zile hata mimi taste yake sijaipenda kuna jambo lingine nachelea kusema wasije sema nimetumwa na coca cola
 
Binafsi naona wanazidi kutuua...hizo lita zote ziingie mwilini ni hatari, itabidi tunywe lita 10 za maji for dilution kwa kila fundo.

2013 kwangu ni mwaka wa kupunguza kiwango cha sukari, chunvi na mafuta kwenye chakula na kuongeza kiasi cha maji, matunda na mboga kwenye vyakula vyangu.
 
makemikali matupu Hapo hakuna Lolote, chukua cola ya unga pc moja changanya na maji lit 2 weka gesi..Kitu Kama Azam cola unakipata!
 
Back
Top Bottom