Jamani ACID nakulilia Rudi.. ulikimbilia wapi

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
jamani humu ndani kuna mtu alikuwa anaitwa ACID sijui alipotelea wapi. Popote ulipo unaombwa urudi michango yako tunaimiss!! we miss your CRITICAL thinking!!
Zawadi itatolewa kwa yeyote atakayeweza kum-convince arudi!!.
je wewe unam-miss nani unatamani arudi jamvini?
 
Hivi nyinyi hamjashtukia tu? Watu hawaondokagi humu. Ni wachache sana wasio na majina zaidi ya moja. Hao wote mnaojiuliza wako wapi wako humu humu ila hamjawashtukia tu.
 
Hivi nyinyi hamjashtukia tu? Watu hawaondokagi humu. Ni wachache sana wasio na majina zaidi ya moja. Hao wote mnaojiuliza wako wapi wako humu humu ila hamjawashtukia tu.
I second this, waswahili wanachemshana na kulembeana vibuti halaf wanakuja kivyengine ikisha wanajianzishia sredi wenye wao ya kujitafuta. Damn! my ass brain
 
I second this, waswahili wanachemshana na kulembeana vibuti halaf wanakuja kivyengine ikisha wanajianzishia sredi wenye wao ya kujitafuta. Damn! my ass brain

Kuna viroja sana humu aisee. Unajua idadi ya wanachama wa JF sasa ni 37,759 (kwa mujibu wa takwimu nilizozipata muda mchache uliopita).

Sasa jiulize kati ya hao 37,759 ni wangapi wana IDs zaidi ya moja. Sitashangaa hata kidogo kuwa idadi ya kweli ya wanachama wa JF kutozidi hata 10,000. Kati ya hawa 10,000 usikute 9,347 wana IDs 2.96 kwa wastani na hivyo kupelekea idadi ya wanachama wa JF kuonekana 37,759.

JF bana...full usanii. Si mameni si mademu. Wote full usanii tu. Teh tih teh....
 
Ntamwambia umemmiss mpaka ukiwa JF hamna kinachoendelea...kupost thread huwezi...kujibu zilizopo huwezi na kila ukiangalia screen unamuona yeye tu!!!

hahahahaha! Mwambie my dear. Hata nikiona jina la lizzy naona kama VOR.
Nikinywa maji namuona kwenye glasi. Lol!
 
yaani hashy asiwe amekufa tu jaman. Lol!
mungu apishilie mbali maana maisha haya,kuna mtanzania kapotea mahali kiutata kaacha mabarua ya ajabuajabu mpaka leo anatafutwa ila kuna asilimia kadhaa za kujiua usikute ndo yeye maana ukimya huu si bure.
 
dah! Sijui niseme RIP in advance. Lol!
Shosti nikifa uje kuwaambia wana jeief. Sawa eeh?
 
dah! Sijui niseme RIP in advance. Lol!
Shosti nikifa uje kuwaambia wana jeief. Sawa eeh?
sithubutu ntameza japo chungu...na huyo kaandika hivyohivyo familia yake isiambiwe jamani Husninyo weye wanifanya nakulilia kabla:crying:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom