Jaman Ipi bora hapa:HTC CHACHA, HTC STATUS na NOKIA E6

Katika utafiti wangu wana jamvi
nimeona hizi simu kama zina randana sifa zake, mwenye ujuz na
hizi simu namwomba anipe
Pro. comments abt them
ili nikichukua moja wapo nisije jutia siku za Mbele
\

Du bado tunasafari ndefu
 
Kwa Tz tumeshazoea Nokia na Samsung na Blackbery lakini ziko simu nyingi sana nzuri kama LG, Sony Xperia, Lenovo, nk
 
Yes HTC status na HTC chacha zina just 512mb lakini unaweza weka memory card mpaka size 32gb
Kwa upande wa camera si kweli zina 3.1megapixels.
Chacha na status zina 5mp na vile vile zina secondary camera.
Natumia chacha na sina complaint yoyote ile juu ya hii simu.

haya bhana kijana wa via HTC Chacha nimekusoma emly
 
Yes HTC status na HTC chacha zina just 512mb lakini unaweza weka memory card mpaka size 32gb
Kwa upande wa camera si kweli zina 3.1megapixels.
Chacha na status zina 5mp na vile vile zina secondary camera.
Natumia chacha na sina complaint yoyote ile juu ya hii simu.

Yap hata nokia e6 ina 8gb na unaweza kuweka mpaka 32 gb!
 
sanaaa! Wakat ukchek cmu kama n8 n ya mda kdogo ila bei yake bado kubwa

N8 inauzika sanaaaa ndo mana haishuki belle nyengine mauzo si makubwa kivile. tukiacha kuinunua wataishusha.

ningar said:
hapo tu ndo android inawapiga gepu maana jamaawana simu hadi za laki
I wish siku uende homepage za motorola, samsung, lg ukasome watu wanavocoment abt hizo simu utacheka
Yani vinaharibika haribika then ukieka soft zinanata hadi utoe betri.
android nzito sana kwa cpu chini ya 1ghz na ram chini ya 512 ukiona simu chini ya hapo iepuke.

Labda iwe matumizi yako watsapp tu
 
N8 inauzika sanaaaa ndo mana haishuki belle nyengine mauzo si makubwa kivile. tukiacha kuinunua wataishusha.

I wish siku uende homepage za motorola, samsung, lg ukasome watu wanavocoment abt hizo simu utacheka
Yani vinaharibika haribika then ukieka soft zinanata hadi utoe betri.
android nzito sana kwa cpu chini ya 1ghz na ram chini ya 512 ukiona simu chini ya hapo iepuke.

Labda iwe matumizi yako watsapp tu

nimekusoma chief
 
nimeikuta hii kule Facebook Nokia page
419301_10151020080827397_1023670176_a.jpg
 
Back
Top Bottom