Jaman Ipi bora hapa:HTC CHACHA, HTC STATUS na NOKIA E6

brian360

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
224
30
Katika utafiti wangu wana jamvi
nimeona hizi simu kama zina randana sifa zake, mwenye ujuz na
hizi simu namwomba anipe
Pro. comments abt them
ili nikichukua moja wapo nisije jutia siku za Mbele
 
HTC Chacha
htc-chacha.jpg

HTC status
htc-status.jpg

Nokia E6
nokia-e6-00-ofic.jpg

kama unavyo ziona hapo juu, inategemea unataka kutumia simu kwa kazi gani na unapenda kutumia apps zipi kwenye simu yako?
Je, jina la kampuni ya simu lina mata kwako??
 
kama ningar alivyosema, kipendacho moyo ndo dawa. kati ya hizo HTC mbili hamna tofauti kubwa sana, cha kuangalia tu ni kwamba unapenda nini
 
Nahitaj Cimu yenye speed ya internet
na application nying
 
Nahitaj Cimu yenye speed ya internet
na application nying

kijana app nyingi ziko play store na kwa speed ya internet inategemea mambo meng, so unaweza jaribu HTC Chacha inaweza kukufaa
 
Mimi nikitaka Kununua Simu Naangalia Yafuatayo.

1. Ram- ianzie 512Mb Mpaka 1Gb

2. OS iwe Android 2.3 na kuendelea au Symbian s60

3. CPU Ianzie 832Mhz au 1Ghz

4. Camera ianzie 5Mp

5. Internet 3G na kuendelea

Mengine nitajua Mwenyewe.

SIMU HIZI ZINAFAA

Nokia 603
nokia-603-2.jpg

Samsung Galaxy Ace Duos s6802
samsung-galaxy-ace-duos-2.jpg

Samsung Galaxy S
220px-Android_Market.jpg
 
Bora wew kaka umetoa description hizi ahsante sana

Mimi nikitaka Kununua Simu Naangalia Yafuatayo.

1. Ram- ianzie 512Mb Mpaka 1Gb

2. OS iwe Android 2.3 na kuendelea au Symbian s60

3. CPU Ianzie 832Mhz au 1Ghz

4. Camera ianzie 5Mp

5. Internet 3G na kuendelea

Mengine nitajua Mwenyewe.

SIMU HIZI ZINAFAA

Nokia 603
nokia-603-2.jpg

Samsung Galaxy Ace Duos s6802
samsung-galaxy-ace-duos-2.jpg

Samsung Galaxy S
220px-Android_Market.jpg
 
HTC Chacha
htc-chacha.jpg

HTC status
htc-status.jpg

Nokia E6
nokia-e6-00-ofic.jpg

kama unavyo ziona hapo juu, inategemea unataka kutumia simu kwa kazi gani na unapenda kutumia apps zipi kwenye simu yako?
Je, jina la kampuni ya simu lina mata kwako??
vp khs HTC DIAMOND?
 
hapo mkuu nakushaur uchukue nokia e6, kwa vgezo hapo n kwamba... Ukija ktk storage nokia ina 8gb wakat hzo htc zna mb 512 tuuu.... Pili ktk camera hyo nokia ina 8 megapixels wkat hzo htc zna 3.1 megapixels,.. Tatu n kwamba nokia e6 n qwerty af pia ni touch scrn na htc pia hyo znayo!
 
I agree with you bola achukue Nokia E6
 
It's because simu za android ziko kama utitiri mitaani, and Symbian wana device chache saana
 
Mimi nikitaka Kununua Simu Naangalia Yafuatayo.

1. Ram- ianzie 512Mb Mpaka 1Gb

2. OS iwe Android 2.3 na kuendelea au Symbian s60

3. CPU Ianzie 832Mhz au 1Ghz

4. Camera ianzie 5Mp

5. Internet 3G na kuendelea

Mengine nitajua Mwenyewe.

SIMU HIZI ZINAFAA

Nokia 603
nokia-603-2.jpg

Samsung Galaxy Ace Duos s6802
samsung-galaxy-ace-duos-2.jpg

Samsung Galaxy S
220px-Android_Market.jpg

kaka umenikosha vibaya mno hiyo nokia 603 ndio mtambo nnaotumia sasa nna wiki tu toka niuchukue na upo bomba mbaya.
 
hapo mkuu nakushaur uchukue nokia e6, kwa vgezo hapo n kwamba... Ukija ktk storage nokia ina 8gb wakat hzo htc zna mb 512 tuuu.... Pili ktk camera hyo nokia ina 8 megapixels wkat hzo htc zna 3.1 megapixels,.. Tatu n kwamba nokia e6 n qwerty af pia ni touch scrn na htc pia hyo znayo!

Yes HTC status na HTC chacha zina just 512mb lakini unaweza weka memory card mpaka size 32gb
Kwa upande wa camera si kweli zina 3.1megapixels.
Chacha na status zina 5mp na vile vile zina secondary camera.
Natumia chacha na sina complaint yoyote ile juu ya hii simu.
 
Back
Top Bottom