Jason uko wapi uko salama kweli manake tunaona akina Salva wamekuja na matamko ya uongo kuzzuga wananchi kwamba eti Jakaya sio kigeugeu hope hujapelekwa kwenye mahandaki kufinywa finywaMambo yanaendelea ndugu zangu! Endeleeni kufuatilia updates!!
Jason uko wapi uko salama kweli manake tunaona akina Salva wamekuja na matamko ya uongo kuzzuga wananchi kwamba eti Jakaya sio kigeugeu hope hujapelekwa kwenye mahandaki kufinywa finywaMambo yanaendelea ndugu zangu! Endeleeni kufuatilia updates!!
nakaa na kujiuliza hivi wale waliokua wakilisukuma gari la mwizi jairo wanajisikiaje muda huu ilihali waalikua wakijua kila kitu???niaibu kubwa sana kwa taifa hili kuongoza na fikra za kizandiki ndio maana unakuta hakuna uwajibikaji kwenye ofisi za serekali kwakua hata mfanyakazi wa kawaida anajua kua bosi atnichukulia poa kwakua hata mimi nayajua mazambi yake na kumfichia pia.wizara nzima ilikua ikijua kua hapa tunadanganya na hakuna wakuchukua hatua yoyote zaidi funika kombe mwanaharamu apite.aibu yao sasa sijui wanajiangalia vipi humo kwenye maofisi yao.shame on you mibaba mizima na mimama kupiga vigelegele huku wakiwa wanajua kila uoza unaoendelea
Hawa ni wale waliokuwa wanaambulia makombo ya ufisadi sasa waliko huko wanarudisha ulimi kwa mikono.nakaa na kujiuliza hivi wale waliokua wakilisukuma gari la mwizi jairo wanajisikiaje muda huu ilihali waalikua wakijua kila kitu???niaibu kubwa sana kwa taifa hili kuongoza na fikra za kizandiki ndio maana unakuta hakuna uwajibikaji kwenye ofisi za serekali kwakua hata mfanyakazi wa kawaida anajua kua bosi atnichukulia poa kwakua hata mimi nayajua mazambi yake na kumfichia pia.wizara nzima ilikua ikijua kua hapa tunadanganya na hakuna wakuchukua hatua yoyote zaidi funika kombe mwanaharamu apite.aibu yao sasa sijui wanajiangalia vipi humo kwenye maofisi yao.shame on you mibaba mizima na mimama kupiga vigelegele huku wakiwa wanajua kila uoza unaoendelea
Mzee wewe ni wa msimbazi nini?gud mesej.Badi kala.
nimeshindwa kusoma kwa sababu ya rangi uliyotumia. Macho jombaa.!?
dah, ndugu Yericko Nyerere kumbe umeanza kitambo harakati ee? hongera mkuu.