Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Huwezi amini kumbe yule mwizi mshiriki wa Ikulu ndugu Jairo anapokewa kwa shangwe na wafanyakazi wa wizara ya nishati kwa kulisukuma gari lake kutoka kitegauchumi hadi wizarani

WAFANYAKAZI-WAKISUKUMA-GARI-LA-JAIRO-LEO.jpg

wanasukuma-gari-la-jairo.jpg

jairo-akipokewa.jpg

JAIRONANGELEJALEO.jpg

==============
Nipo katikati ya msafara wa hawa wezi sasa wanakwenda kwa bos wao magogoni wakitokea wizarani.
Nitawajuza kinachoendelea ndugu zangu.

Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa.
===============
Luhanjo katupokea kwa shangwe kuu amemkumbatia Jairo na kumsifu kuwa ni shujaa!

Kikao kinaendelea,kubwa linalozungumzwa ni hali inayoendelea bungeni na jinzi ya kujihami. Luhanjo anasema ameagizwa kuweka hali ya mambo sawa na mkuu wa kaya!

Nitaendelea kuwajuza!!
====================
More updates

Amini usiamini Ikulu ya amua Pinda ajiudhuru?
Hili linatokana na uzito wa Jairo ndani ya Ikulu, yani wameona bora Pinda ajiuzuru kuliko Jairo!!

Luhanjo anasema mkuu wakaya katoa maagizo eti kinyume na hapo kikwete atavuliwa madaraka!

=============
More UPDATES:

Ikulu yacheza picha la kihindi! Jana baada ya mkuu wa kaya kurudi magogoni kilikalika kikao na bwana Luhanjo akatoa taarifa ya kikao chake na akina Jairo na ikajadiliwa hali ya mambo bungeni.

Moja ya nilichokitafsiri ni kuwa Ikulu na Bungu wanatofautiana sana juu ya Jairo.

Maamuzi ya kikao cha usiku wa jana ni kuwa kwakuwa mda wa Luhanjo kustaafu ulishafika na mpaka leo yupo kwa hisani ya mkuu wa kaya basi walizuge taifa kuonyesha umma kuwa ikulu imesikitishwa na maamuzi ya Luhanjo hivyo imemtimua kazi.

Wazo hilo alilitoa Luhanjo mwenyewe, japo kikwete alisita kidogo lakini Luhanjo alifafanua jinzi mbinu hii itakavyo badili upepo na hali ya mambo itakuwa shwari ndipo mkuu wa kaya akakubali wazo hilo!

Spika wa bunge aliwasiliana na mkuu wa kaya mida ya saa nne na dk kumi na akamueleza dhamira ya bunge kuomba ushauri:

1. Nani awaweke katika kamati

2. Nini wakifanye hao wanakamati

Mkuu wa kaya akaomba kuwa ngoja atulize kichwa kwanza atatoa dokezo!

Kikubwa msitegemee jipya kutoka ktk kamati hiyo kwakuwa inateuliwa na ikulu!

Mkuu wa kaya amgeuka Luhanjo dk za mwisho apendekeza Jairo aendelee kusimamishwa!

Jioni kutakuwa na kikao kati ya mkuu wa kaya, Msekwa, Makinda, Ngeleja, Jairo na baadhi ya wazee wenye kumuabudu kikwete
Hali si nzuri kwa hapa magogoni!

UPDATES ya jioni hii! (25, August 2011)

Waungwana!! wale magwiji wa mikakati michafu ya siasa za tz ndo wanaingia magogoni ulinzi ni mkali yani hatuaminiani wenyewe kwa wenyewe hapa!

Tulieni mkao wakula nitawamwagia hapa yote yatakayojiri hapa!! Kwanza safari ya ****** USA imesitishwa japo mkweree ni kigeugeu hivyo msishangae akalazimisha kwenda!!!
 
Upuuzi mtupu!! Tupo ndani ya usingizi mzito, magamba watatumaliza hawa!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
nilikuwa nasema hivi kama wizara za serikali zinaruhusiwa kuchangisha pesa bac walioko wizarani wote ni mabilionea. kama kupitisha bajeti 2 zinachangishwa pesa nyingi hivyo ilikua haina aja kuangaisha wananchi kuchangia ktk shule za kata kwani kila wizara ingechangisha pesa kutoka ktk taasisi zake na kuwajengea shule wananchi hii haiingii akilini kamwe.
amechangisha sh. ngapi ?
zinaweza kujenga madarasa mangapi?
je, wizara nyingine zinafanya hivyo?
 
acha wasukume tu lakini bungeni kumewaka moto...taarifa ya CAG imeombwa iletwe bungeni mara moja...ngoja tusubiri tuone maana ndugai amevua joho ili kwenfa faragha kujadili nini kifuate maana hoja ya zitto imekuwa kali sana...
 
Sio cha kushangaza. Wizara zote zimejaa wezi kuanzia mawaziri unashuka mpaka hule anayeokota makaratasi. Kwa hiyo mtu anaye-facilitate wizi wao anapokutwa na matatizo lazima wahuzunike na anapopakwa rangi lazima wafurahie maana tonge limerudi tena mdomoni. The whole govt is corrupted. Shame on them
 
Nipo katikati ya msafara wa hawa wezi sasa wanakwenda kwa bos wao magogoni wakitokea wizarani

Nitawajuza kinachoendelea ndugu zangu!!
Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa!!

UPDATES!

Luhanjo katupokea kwa shangwe kuu amemkumbatia Jairo na kumsifu kuwa ni shujaa!

Kikao kinaendelea,kubwa linalozungumzwa ni hali inayoendelea bungeni na jinzi ya kujihami. Luhanjo anasema ameagizwa kuweka hali ya mambo sawa na mkuu wa kaya!

Nitaendelea kuwajuza!!!

More UPDATES!!

Amini usiamini ikulu ya amua Pinda ajiudhuri!!
Hili linatokana na uzito wa Jairo ndani ya Ikulu, yani wameona bora Pinda ajiuzuru kuliko Jairo!!
Luhanjo anasema mkuu wakaya katoa maagizo eti kinyume na hapo kikwete atavuliwa madaraka!
Kikao kinamalizika na tumeletewa nyama ya kuku ya kukaangwa kwa soda!!
 
Jamani huyu Jairo sasa naanza kupatwa na wasiwasi kwamba ni zaidi ya tumjuavyo!
 
Nipo katikati ya msafara wa hawa wezi sasa wanakwenda kwa bos wao magogoni wakitokea wizarani
Nitawajuza kinachoendelea ndugu zangu!!
Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa!!

Katikati ya msafara wa mamba kwani na wewe ni mamba?
 
Nipo katikati ya msafara wa hawa wezi sasa wanakwenda kwa bos wao magogoni wakitokea wizarani
Nitawajuza kinachoendelea ndugu zangu!!
Nchi imeisha hii jamani inahitaji mtu mzalendo wa kweli kuikomboa!!

kwani boss yupo? kesha rudi toka kufuturu zanzibar?
 
Back
Top Bottom