mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,772
- 2,171
Amepima uzito wa suala na amechukua uamuzi stahili. Lakini hii haitoshi. Ni dhahiri kwamba Jairo asingeweza kuandika barua ile bila Waziri na naibu wake kuhusika. Hivyo tunasubiri kujiuzulu kwa Ngeleja na Malima. Zaidi ya hapo, sheria ichukue mkondo wake.