Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
Sio wa mwanzo kufanya makosa na sio pia tanzania mpya.
Dk Hosea alisakamwa ndani ya bunge hadi kwa vyombo vya haabari na kushindikizwa kujiuzulu. lkn bado anadunda ndani ya ofisi ya umma.Tunamuacha astaafu kwa heshima.
mwanasheria mkuu wa sereakali aliestaafu kwa heshima.aliependekezwa aaachishwe kazi lkn amestaafu kwa heshima
mkuu wa polisi Omar mahita juu ya tuhuma mbali mbali amestaafu kwa heshima.
tumwacheni nae JAIRO astaafu kwa heshima kama tulivyozoea kwa viongozi wengine waliostaafu kwa heshima kwa makosa waliofanya.
kumshindikiza jairo aadhibiwe hatumtendei haki