Jairo ajiuzulu wadhifa wake

Status
Not open for further replies.
Hawa jamaa walitakiwa wafukuzwe kazi tangu siku ile wanagundulika kuwa wamefanya uhuni wa kusimamia kazi walizopewa na wananchi kwa mgongo wa Kiranja Mkuu wa Nchi, JK. Please tuletee chanzo cha habari yako.
 
[Kifupi hayo "mawasiliano" ndo mpango mzima.[/QUOTE]

Mkuu soma vizuri hiyo barua. Hata hivyo mimi naona amendika akijua likilipuka atajihami kimtindo. Let us wait & see!!!!!!
 
Kwani tunauhakika gani ni yakwake?

Ikigundulika shelukindo amelidanganya bunge kwa barua feki,,achukuliwe hatua gani?

1. Signature yake.
2. Tangu sakata hili lilipoanza yeye Jairo hajawahi kukanusha, labda kama wewe ndo umeanza mchakato wa kumkanushia.
Unataka uhakika gani tena mkuu?

Au na wewe unataka kuwa kama Hosea DPP kuwa wanashindwa kuwashtaki vigogo watuhumiwa wa ufisadi kwa kuwa ushahidi hautoshi, hata kuwachunguza tu wanahitaji ushahid. Tena wanasema wananchi wenye ushahidi wawapelekee kana kwamba hiyo ni kazi ya wananchi na si kazi yao.
 
[Kifupi hayo "mawasiliano" ndo mpango mzima.

Mkuu Mtazamaji soma vizuri hiyo barua. Hata hivyo mimi naona ameandika akijua likilipuka atajihami kimtindo. Let us wait and see!!!!!!
 
Mkuu bado tu hujapata za nyongeza?

Kama amejiuzulu hiyo ni haki yake kabisa na kama hajajiuzulu inabidi afukuzwe yeye pamoja na Waziri na Naibu Waziri wake. Mimi sioni kwa hili Mgeleja na Malima wataponea wapi? Shelukindo kawakamata chini ya mkanda!! Itakuwa ni miuzjiza Ngeleja na Malima wakipona.



juzi waziri mkuu ameongea na jk ...pinda kaeleza kila kitu kwa marefu yake....unajua mkuu alijibu? alisema hiyo barua unayo hapo? naomba nitumiwe....pinda akanyoosha sentesi ya kufukuzwa kazi kwa katibu huyu mkuu na waziri wake kama kwa uzembe ......bado jk bado akawa hana kauli ya mwsho sana sana..aliomba hiyo barua ili ajiridhishe kwa kusema kuwa hataki kufanya maamuzi pasipo uhakika....akaomba kuongea na ngereja na jairo juu ya tuhuma na pia atumiwe barua.....
jana mchana pinda akaongea nae na kumwambia kuwa kwa hali ilivyo hakuna jinsi jairo akabaki ndio Raisi akamwamba pinda aziagize takukuru wafanye uchunguzi juu ya tuhuma hizi kama ni kweli au fabricated......
 
katibu mkuu anauwezo wakuchangisha 50m kutoka kila idara bila waziri kujua? haya mamlaka ni makubwa sana kuliko hata u-waziri
Jairo umekula vya kutosha utaingia knye list ya mafisadi uwataje na wenzio mtakao ishi jela miaka yote ya uhai wenu uliosalia
 
CCM huwa wanajiuzulu kwa visasi sio accountability...jaribu kucheki mlolongo wa walio jiuzulu
 
waziri mkuu katuambia amepata maagizo mapya uchunguzi unaendelea anaondokaje wakati wa uchunguzi asielete ujinga
 
ina maana akijiudhulu ndo issue yenyewe inaishia hapo??? Hapo lazima ameshinikizwa na wakubwa kujiudhulu ili kumuepusha na aibu ya kufukuzwa. Na hatima ya ngereja inakuwaje??? Hata kama amejiudhulu lazima tujue pesa hizo zimefanya nini na nani alimtuma kuandika barua zile.
 
1. Signature yake.
2. Tangu sakata hili lilipoanza yeye Jairo hajawahi kukanusha, labda kama wewe ndo umeanza mchakato wa kumkanushia.
Unataka uhakika gani tena mkuu?

Au na wewe unataka kuwa kama Hosea DPP kuwa wanashindwa kuwashtaki vigogo watuhumiwa wa ufisadi kwa kuwa ushahidi hautoshi, hata kuwachunguza tu wanahitaji ushahid. Tena wanasema wananchi wenye ushahidi wawapelekee kana kwamba hiyo ni kazi ya wananchi na si kazi yao.



kaogeeeeeeeeeeeehhhhhhhh!!!!
 
Duh kwahiyo huu upupu ulishapita kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini???. (Bila shaka hapo Mlungula ulitipita)

Pia hapa ninaona kuna serious case of fraud.., na hii (GST) inabidi ichunguzwe tuone ni maovu mangapi huwa yanapita huko kwa mwanvuli wa Survey..

Ni kweli ukisoma between the lines hiyo barua....ni kama vile Jairo anasema "...'kazi' ya kuipitisha kwenye kamati imefanikiwa na hivyo fungu walilokuwa nalo limeisha/limepungua hivyo wanahitaji pesa ili kumalizia 'kazi' ya kuipitisha bungeni". Takukuru wakiwa makini na wazalendo wanaweza kufumua mambo mengi sana katika hili. Kwa mfano wanaweza kuchunguza hiyo account ya GST kwa miaka mitano nyuma (kwa vipindi vya bajeti). Binafsi siamini kabisa kama hii ya Jairo ndio ya kwanza kutokea....ni 'ajali ya kisiasa' tu!
 
hivi mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) anazionaga hizi au?
 
waziri mkuu katuambia amepata maagizo mapya uchunguzi unaendelea anaondokaje wakati wa uchunguzi asielete ujinga


kuna post hapo juu nimesema kuwa maagizo mapya ni pinda kuwambia takukuru kufanya uchunguzi basi
 
Hivi kwani mtu akijiuzulu hawezi fikishwa katika vyombo vya sheria kama step ya kwanza huku uchunguzi ukiwa unaendelea???
 
Ni kweli inaonyesha kabisa kamati ilishapitisha. kuna thread huko, MTM anamuuliza maswali Mnyika kuhusiana na hilo, sina hakika kama Mnyika ameingia humu kujibu tuhuma. lakini kwa vyovyote iwavyo kuna kila dalili kwamba mlungula ulipita pale kwenye kamati na wenye kutuondolea imani hii ni kina Mnyika et la. na waje na ushahidi kwamba ile siyo walioipitisha kule.
Katika hili ukweli utajulikana very soon.
Watz tunayo kazi ndefu sana
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom