Jahazi lazama Nungwi, Zanzibar leo

Yule waziri wa afya wa zenji awahishe madaktari wa kutoa huduma kwa majeruhi kama alivyowahi mza kumtukana dr.slaa
 
Limezama eneo la Nungwi lilikuwa likielekea Pemba. Hili eneo ni noma litatumaliza.
 
Ila tahadhali ilitolewa kuwa kuna upepo mkali utavuma baharini,..
Poleni wafiwa
 
Jahazi lazama nungwi 20 waokolewa wengine wapatao 15 hawajulikani walipo kwa mujibu wa chanzo changu jitihada zimekwisha anza za kuwatafuta wasioonekana!!!
 
Ila mamlaka zilisema kutakuwa na upepo mkali? !!! Nao wenye vyombo itabidi wawe wanasikiliza habari.
 
Ila tahadhali ilitolewa kuwa kuna upepo mkali utavuma baharini,..
Poleni wafiwa

Ni kweli kuna upepo mkali sana nimepita hapo saa sita hali haikuwa nzuri sana, Pamoja na kuwa kifo hakizuiliki ila tahadhari inabidi kuchukuliwa hasa hivi vyombo vya kusafiria ikianzia na wasafiri wenyewe maana mara nyingi wanaodhurika ni abiria huku wamiliki/manaodha wakibaki salama
 
Jahazi lazama nungwi 20 waokolewa wengine wapatao 15 hawajulikani walipo kwa mujibu wa chanzo changu jitihada zinaendelea za kuwatafuta wengine!!!
 
CHADEMA hao, ni wahuni na wahalifu, wamezamisha jahazi nungwi

itakuwa kauli ya Nape kwa vyombo vya habari kesho
 
Back
Top Bottom