J. Kikwete + Salma Kikwete = $10,000 per diem, tax-free?

Mfanya biashara anatumia pesa yake

Raisi and co pesa za wananchi.

Tofauti ni kubwa.
 
Sasa kwanini wanashindwa kuwalipia wanao wawili walio hudhuria vyuo vikuu vya Madafu tuition fees?

1. Rizwan - UDSM - Mlimani 1st Degree Law
2. Rizwan sister - Muhimbili 1st Doctor's Degree
3. Mwana nani yule Asha au Hawa Sijui Div. four
 
Naumia sana ila haina shida 2015 zitarudi tu pamoja na za riz1 tutazirudisha iwe lowasa kawa rais au dokta slaa.
 
Ni sawa tu. Kuwa mwanaSIASA nchi hii ni UWEKEZAJI wa nguvu. Siasa inalipa sana kuliko vipaji na ubunifu nchi hii. Ndio maana unaona sasa wamefikia kuua na kuuana ikibidi ili mtu achaguliwe/ateuliwe katika nyadhifa hizi za kisiasa.
 
Bandungu, msione ajabu Kikwete na mkewe wanapiga trip 3 hadi 5 nje ya nchi kila mwezi, kwani kwa mtaji huu hata mfanya biashara mkubwa Tanzania hawezi shindana nao. Maana hapo awali tulishafahamishwa kuwa mke wake Kikwete analipwa per diem sawa na Kikwete mwenyewe: $5000 kwa siku.

kwa hiyo?!
 
Nadhani hizo hela zililipwa na Obama kwa sababu OGP ni ya Obama. Vinginevyo, kwa nini tutumie pesa yote hiyo kwa safari moja tu ya kwenda kujisifu badala ya kutumia hiyo pesa kuboresha miundombinu ya kuzalisha na kutoa taarifa kwa wananchi?
 
Mkuu Losambo apo ulipoandika mpiga pasi umekosea au ni kweli?
Maana kwa izo hotel si kuna mambo ya Laundrly au nae anakaa gesti kama sie walala hoi
Naona katrip ka Brazil pekee yake wamepiga dola 14,011(21mil tshs) kama mke na mume no wonder misafari mingi!
 
Kama ndo hivyo basi nguvu ya kupambana na UKIMWI ielekezwe kwa JK na CCM haki ya Mungu.
 
by 2015 Tanzania tutalisha nchi zote za Africa Mashariki.

Uko kwenye ndoto ndugu?
 
Hivi kuna umuhimu gani kufuatana na mkewe?

Kusafiri na mkewe ni muhimu sana, huwezi kumtenganisha mtu na mkewe ati wasisafiri pamoja.
Suala muhimu hapa ni kwa nini mkewe alipwe per diem, yeye si mwajiriwa wa serikali.
 
Sasa wewe 5,000 kwa siku unaona nyingi? wewe kweli huna maana. Mimi nalipwa kwa saa si chini ya $500 na hii si per diem. Per diem yangu nikisafiri ni kulipiwa gharama zote na malipo ya $ 1,000 kwa saa. Hata nikilala hiyo inalipwa kwani sijalala nyumbani kwangu.

Nimemshinda Kikwete kwa malipo mara kadhaa.
 
Back
Top Bottom