J. Kikwete + Salma Kikwete = $10,000 per diem, tax-free?

Taarifa hii haina mchanganuo na imeletwa kama imeokotwa pale soko la samaki ferry jirani na Ikulu.

Rais hawezi kwenda Kenya au nchi jirani na Tanzania na kwenda Marekani au nchi za mbali na Tanzania akalipwa per diem moja hata kama ingekuwa ni kweli kuna chumvi nyingi katika taarifa hii.
 
whether ni usd elfu kumi ama elfu 6 kwa siku ukiangalia na idadi ya watu wanaosafiri na Mh.Rais ni hatari sana hasa ukiangalia ni safari ngapi Mh amekuwa akizifanya na mlolongo mkubwa anaoambatana nao.Mhhhh:shock:
 
Ukweli ni kwamba Kikwete na mkewe wanalipwa zaidi ya $10,000 kwa siku. Hiyo attachment yako ni danganya toto tu.


Hata mimi nimeshangaa...airticket ya $590 walipata wapi?

Kama ingekuwa rahisi kiasi hicho basi kila mtu angeenda mapumziko Brazil!!

Ila kama gharama za kughushi/kuchakachua zimefikia >$100K, ina maana jamaa walitumia labda mara 3 au zaidi ya kiasi hicho!!
 
Mpiga pasi, mpiga picha (yule jamaa wa vakesheni) na walinzi wawili wa nini kwenye msafara? Mfano, hoteli zote anazofikia zina huduma za kufua & kupiga pasi!
 
Hizi ni ndoto za Alinacha.Tumepata mikopo na misaada mingapi tangu tupate uhuru lakini ndio kwanza tunazidi kuwa maskini.Kama hujui pesa hizo sio kwa ajili yangu mimi na wewe.Hizo ni kickbacks kwa ajili ya kazi nzuri wanayoifanya katika kuwasaidia kutuibia resources zetu.
huu ni uzushi usio na tija. What is your source? even if that will be the case at Camp David G8 Summit Tanzania has been granted Millennium2 $900m for agriculture project. If you remember Millennium1 we got $700m for infrastructure. Mdau usikurupuke tu kutoa hoja bila data. by 2015 Tanzania tutalisha nchi zote za Africa Mashariki.
 
Back
Top Bottom