..... Ivi kujitambulisha kwamba upo Dar...... ni ujanja eeehhhh..!!??

Dah! Kuishi daslam ujiko bana, mi nipo mpwapwa ila natamani ningekuwa naisha dar.
 
Kwa sasa niko dar bt frm july ntakua kwetu moshi navuna maharage na mahindi.over
 
.....Ok mimi nipo Kasanga...Kirando.. ninafanya biashara ya migebuka...
wewe uko wapi....

kuwa wazi...

....achana na utumwa wa fikra.....

kwa sasa nipo Magogoni najipitishapitisha kwa Mkwele ili nami niwemo kwnye baraza jipya la mawaziri.
 
Back
Top Bottom