..... Ivi kujitambulisha kwamba upo Dar...... ni ujanja eeehhhh..!!??

Inaonekana mtu akija na swagger kuwa anakaa Masaki wallahi anakula kifuko cha mbolea, na mpaka uje kugundua ni Masaki ya Chole, Mkuranga itakuwa 'too late', marinda yatakuwa yashafumuka.

Dah! Jamani Jf kuna raha...!!
Mmenikuna palepale...!!,
Hapa hatuamini mtu mpaka ulete kitambulisho cha kupigia kura,
Eboo!!
 
Dah! Jamani Jf kuna raha...!!
Mmenikuna palepale...!!,
Hapa hatuamini mtu mpaka ulete kitambulisho cha kupigia kura,
Eboo!!
Umekunwa wapi tena mama?
Kuhusu kitambulisho cha kupigia kura wala hakina maana siku hizi maana Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kajiandikisha Shule ya Msingi Oysterbay. Sioi Sumari, ambaye chupuchupu aukwae ubunge wa JMT, yeye ndo kaua bendi kabisa, kajiandikisha Kenyaaa...
Zubaa uchekwe!
 
Khaaa!!!,
yani hawa ndo wale wanaotufanya tuweweseke ucku kucha....!
Na kweli nikizubaa nachekwa,
ndo mana jirani yangu ye anajiita M-pagani..!,
Nshafahamu Mphamvu
 
Last edited by a moderator:
Ikivuka "O" si unakuja ungo! Unaweza piga makofi usiguse kingo !

Aah taratibu mkuu Judgement! Ina maana kuna mpipi wenye diameter ya ungo? Maana marinda yanajiadjust kulingana na size ya mashine inayoyatumia.
 
Last edited by a moderator:
Hainihusu mimi nipo Mbeya, karibu Uyole na ningekuwa Dar ningekujuza nipo Dar hata kama ni Tandale Kwa Mtogole.

Uyole kubwa Mwene!
Wapi haswa? Itezi, Ilomba, Nsalaga, Igawilo? Kilimo? Iduda? Kati? Njiapanda? Pale kwa Mwangalika? au jirani na Mahinya?

Khaaa!!!,
yani hawa ndo wale wanaotufanya tuweweseke ucku kucha....!
Na kweli nikizubaa nachekwa,
ndo mana jirani yangu ye anajiita M-pagani..!,
Nshafahamu Mphamvu

Kata kilevi ujinga ukutoke, ukiwaendekeza hawa utajakufa kwa presha bure?
Waendelee tu na Mungu atawalaani...
 
Last edited by a moderator:
kumbe kuishi dar ujiko!! jiji lenyewe lilivyokua chaafu na linanuka!! kha! ........
 
Back
Top Bottom