It's simple but Tough .. Tone internet Radio

Mimi mweenzenuuu nasikitika saaanaaaa ametoroshwa mpenzi wangu tehetehe ndo wimbo naousikia sasa
 
ila kama mnaweza ile geo/revolver map sijui kama ni muhimu kwa public... i thought ingekua nzuri ninyi wenyewe kujua hits bila kuweka wazi nani yuko wapi anasikiliza
 
ila kama mnaweza ile geo/revolver map sijui kama ni muhimu kwa public... i thought ingekua nzuri ninyi wenyewe kujua hits bila kuweka wazi nani yuko wapi anasikiliza

Hiyo haina noma sana . kama unawasi wasi we unaweza kuingia kwa kutumia proxies amabayo itaonyesha location tofauti. mfano chukua hii Hide My Ass! Free Proxy and Privacy Tools - Surf The Web Anonymously Au tumia program za kufake IP. yako kabisa Hivi ndivyo mm nafanya mara zote nituutumipo mtandao.
 
Napenda kuwajibu wadau kama ifuatavyo Tone Internet Radio ilipo anza sikusema kwa kweli kwa kuwa nilikua kwa majalibio lakini walipo ingia zaidi ya watu 10000 niliamua kupeleka barua TCRA kwa utambulisho na walishangaa na kukili kwamba hii ni Radio ya kwanza kwenda kwa hewa Bila Frequency Nchini Tanzania na imeruhusiwa kuenda hewani bila kipingamizi.. Kuhusu wale ndugu zangu ambao wanatumia simu hivi karibuni nitazindua TONE MOBILE ambapo utapata Radio Bure kabisa kiganjani kwako bila Chenga kabisa. Asanteni sana kwa Niamba ya Tone Internet Radio
 
Safi mkuu lakini naweza kuuuliza swali la kitaalmu kidogo.

Unatumia bandwidth kiasi gani Hasa hasa niko interested kujua upload ya net yako uwezo wake ni kb/s ngapi . Maana wewe unaopload sisi wasiilizaji ndio tunadowload. maana kwa package ya kawaida ingekuwa ngumu kidogo. Nipe shule.
 
Kwa tunaotumia simu, apps kama TuneIn, tunawezaje kusikiliza hii redio?

Big up big up!
 
Tunatumia net ya kawaida tuu ila ndio 24/7.... mengine kwa kweli yapo nje ya uwezo wangu siwezi yaeleza
 
Back
Top Bottom