Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 987
- 2,487
Hii ni baada ya jana Ahly Benghazi ya Libya kushindwa kufuzu kwenda 1/4 fainali ya CAF confederation cup
Sasa ni jukumu letu (Simba/Azam/Yanga) ku-maintain hizo nafasi za timu 4 kila mwaka kwa kuhakikisha at least wote tunafika group stage na at least mmoja wetu anafika robo fainali kila msimu.Habari njema kwa soka la TANZANIA na mashabiki wake.......hii inaonyesha jinsi gani soka letu linapiga hatua.....
😄😄😄😄😄😁Yes, sasa ngoja uto wakapigwe saba na Mamelodi Sundowns, ndio watajua mpira sio kubeba watu migongoni.
Mafanikio hayo yataletwa na maandalizi mazuri yatakayotambua thamani ya nafasi waliyopata....Sasa ni jukumu letu (Simba/Azam/Yanga) ku-maintain hizo nafasi za timu 4 kila mwaka kwa kuhakikisha at least wote tunafika group stage na at least mmoja wetu anafika robo fainali kila msimu.
Azam na Yanga lazima wafike angalau group stage msimu ujao, hawatakua na la kujitetea.
Mbele ya iyo miamba anaanzaje kufuzuHii ni baada ya jana Ahly Benghazi ya Libya kushindwa kufuzu kwenda 1/4 fainali ya CAF confederation cup
View attachment 1767738
Unausenge flani hiviYes, sasa ngoja uto wakapigwe saba na Mamelodi Sundowns, ndio watajua mpira sio kubeba watu migongoni.
sio soka la bongo ni soka la simbaHabari njema kwa soka la TANZANIA na mashabiki wake.......hii inaonyesha jinsi gani soka letu linapiga hatua.....
Namungo ipi? ! Hii yenye division zero?Mbele ya iyo miamba anaanzaje kufuzu
Azam kazeni hapo iyo timu ya nne natamani ingekua namungo daaah
Wewe kwel "uneducated" Jitadhiminisio soka la bongo ni soka la simba
Hata Yanga yenyewe isiyojielewa kila msimu wanaanza upya naona hakuna utayari wa kuweza kupambana taifa. Wataenda ili mradi kuwakilisha tu nchi. Ili taifa lifanye vizuri inahitaji mufumo sahihi ya uwendeshaji wa timu Kama ilivyo kwa Simba. Azam ilipaswa kuwa zaidi ya Yanga na Simba lakini wamefeli mpaka sasa. Sioni kama hizi timu tatu zinaweza kufanya kitu zaidi ya kwenda kutimiza wajibu tuNamung
Namungo ipi? ! Hii yenye division zero? View attachment 1767852
Kusema ukweli timu zetu haziko level ya kufurahia kuingia mashindano with the exception ya Simba ambao wameekeza sana.
Labda tuseme Yanga sawa kabisa na hii Azam kwa kweli naona kama hawako tayar kimataifa vile lkn twaweza isamehe iende. Other than those three hamna kitu kwa kweli. Biashara itaweza kweli???!! Namungo group stages mechi zote sita zero kabisa.
Ushabiki pembeni,....timu mbili tu ziende kuepusha aibu. Sana sana tatu haya
Tff inabidi wawasiliane na caf kwamba timu yetu ya uto huwa hawaoni usiku ili mechi zao zote zichezwe mchana...!Yes, sasa ngoja uto wakapigwe saba na Mamelodi Sundowns, ndio watajua mpira sio kubeba watu migongoni.
La muhimu kaenda kafika makundi hayo mambo ya sijui zero utajua mwenyeweNamung
Namungo ipi? ! Hii yenye division zero? View attachment 1767852
Kusema ukweli timu zetu haziko level ya kufurahia kuingia mashindano with the exception ya Simba ambao wameekeza sana.
Labda tuseme Yanga sawa kabisa na hii Azam kwa kweli naona kama hawako tayar kimataifa vile lkn twaweza isamehe iende. Other than those three hamna kitu kwa kweli. Biashara itaweza kweli???!! Namungo group stages mechi zote sita zero kabisa.
Ushabiki pembeni,....timu mbili tu ziende kuepusha aibu. Sana sana tatu haya
Na we kumbe ni wale wale. Haya umeshindaLa muhimu kaenda kafika makundi hayo mambo ya sijui zero utajua mwenyewe
Well said. Sio uyo kapuku hapo juu eti cha muhimu kuingia makundi tu kwa maana ingine anawapongeza Namungu kwa zero yaoHata Yanga yenyewe isiyojielewa kila msimu wanaanza upya naona hakuna utayari wa kuweza kupambana taifa. Wataenda ili mradi kuwakilisha tu nchi. Ili taifa lifanye vizuri inahitaji mufumo sahihi ya uwendeshaji wa timu Kama ilivyo kwa Simba. Azam ilipaswa kuwa zaidi ya Yanga na Simba lakini wamefeli mpaka sasa. Sioni kama hizi timu tatu zinaweza kufanya kitu zaidi ya kwenda kutimiza wajibu tu
Ikiwa hivyo kuna watu watalia na kusaga meno.ifike wakati Champs ndio tuchague timu za kwenda nazo