It's official! VPL kupeleka timu 4 kimataifa msimu ujao 2021/22

Utopologist

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
987
2,487
Hii ni baada ya jana Ahly Benghazi ya Libya kushindwa kufuzu kwenda 1/4 fainali ya CAF confederation cup

20210429_160458.jpg
 
Habari njema kwa soka la TANZANIA na mashabiki wake.......hii inaonyesha jinsi gani soka letu linapiga hatua.....
 
Sasa ni jukumu letu (Simba/Azam/Yanga) ku-maintain hizo nafasi za timu 4 kila mwaka kwa kuhakikisha at least wote tunafika group stage na at least mmoja wetu anafika robo fainali kila msimu.

Azam na Yanga lazima wafike angalau group stage msimu ujao, hawatakua na la kujitetea.
 
Mafanikio hayo yataletwa na maandalizi mazuri yatakayotambua thamani ya nafasi waliyopata....
 
Kwa Yanga hii, hata nafasi ya nne sizani kama itaipata.

Naziona Simba, Azam, Biashara na Prisons / Namungo tena kule FA.
 
Namung
Mbele ya iyo miamba anaanzaje kufuzu

Azam kazeni hapo iyo timu ya nne natamani ingekua namungo daaah
Namungo ipi? ! Hii yenye division zero?
IMG_20210429_193155.jpg

Kusema ukweli timu zetu haziko level ya kufurahia kuingia mashindano with the exception ya Simba ambao wameekeza sana.
Labda tuseme Yanga sawa kabisa na hii Azam kwa kweli naona kama hawako tayar kimataifa vile lkn twaweza isamehe iende. Other than those three hamna kitu kwa kweli. Biashara itaweza kweli???!! Namungo group stages mechi zote sita zero kabisa.
Ushabiki pembeni,....timu mbili tu ziende kuepusha aibu. Sana sana tatu haya
 
Namung
Namungo ipi? ! Hii yenye division zero? View attachment 1767852

Hata Yanga yenyewe isiyojielewa kila msimu wanaanza upya naona hakuna utayari wa kuweza kupambana taifa. Wataenda ili mradi kuwakilisha tu nchi. Ili taifa lifanye vizuri inahitaji mufumo sahihi ya uwendeshaji wa timu Kama ilivyo kwa Simba. Azam ilipaswa kuwa zaidi ya Yanga na Simba lakini wamefeli mpaka sasa. Sioni kama hizi timu tatu zinaweza kufanya kitu zaidi ya kwenda kutimiza wajibu tu
 
La muhimu kaenda kafika makundi hayo mambo ya sijui zero utajua mwenyewe
 
Hata Yanga yenyewe isiyojielewa kila msimu wanaanza upya naona hakuna utayari wa kuweza kupambana taifa. Wataenda ili mradi kuwakilisha tu nchi. Ili taifa lifanye vizuri inahitaji mufumo sahihi ya uwendeshaji wa timu Kama ilivyo kwa Simba. Azam ilipaswa kuwa zaidi ya Yanga na Simba lakini wamefeli mpaka sasa. Sioni kama hizi timu tatu zinaweza kufanya kitu zaidi ya kwenda kutimiza wajibu tu
Well said. Sio uyo kapuku hapo juu eti cha muhimu kuingia makundi tu kwa maana ingine anawapongeza Namungu kwa zero yao
 
Back
Top Bottom