its official: mi na charmingLady dole Tupu

Kesi ipo mahakamani mpaka imalizike ndo hukumu itasema either mfunge ndoa ama la
 
Mahakama hipi unaongelea!
Sina taarifa kuhusu hili swala kwenda mahakamani.
Hadi sasa hamna mwenye vithibiti vya kumshitaki mteja wangu!
Mimi nina vithibiti vya kukushitaki ukihusika kuchafua jina la mteja wangu!

Kesi ipo mahakamani mpaka imalizike ndo hukumu itasema either mfunge ndoa ama la
 
we we we, tena ishia hapo hapo. MtotoSix my huz nlikwambia huyu bestman wako sio mzuri umeamini sasa?

uyu nae kaungana na yule jamaa. siamini mpaka best wangu hanitakii mema, naye anataka ndoa isifungwe...nna wasiwasi inawezekana nae anakunyatia
 
Last edited by a moderator:
Na nitawalipua kwa nyaraka za siri nilizozinyaka ambapo bwana harusi alikuwa ameagizia kontena la milipuko kama ya gongo la mboto ili siku y harusi awadanganyishie watoto watakapofika ukumbini wayarushe watu wakifikiri ni baruti kumbe ni gongo la mboto na inasemekana anaundugu na wale watu wanaojitoa mhanga,,napinga na order nnayo,huyu bwana harusi kaingiza milipuko halafu ana familia afrika ya kusini
 
mwanasheria wetu analishugulikia hilo, wewe leta nyaraka ulizonazo uone mambo yatakavyokuwa mepeeeesi
 
Back
Top Bottom