its official: mi na charmingLady dole Tupu

we mambo ya kuniita majina ya kihuni sitaki....halafu mbona ukaniambia ukitoka kwenye msiba utapita home na hukuja? au ulienda kulala ilemela kwa mtoto wa kichaga? kesho huendi mzigoni tuonane? kuhusu shemeji yako charminglady utamfahamu taratibu tu usiwe na hofu...

sasa kwani nani anayelijua hilo si ni mimi na wewe tu,kesho nipo free,sikuja sababu ilikuwa ucku maana tulitoka mida yaa saa tano kasoro kumpeleka ilemela,huyo charming lady yukoje sasa tuambizane mana ndugu zako no sisi na kamati ndio sisi.
 
Last edited by a moderator:

usiwe na mchecheto bwana Chimbuvu utapata tu utambulisho, kwa iyo kuwa mpole tu kwa sasa kwanza
 
Last edited by a moderator:
Sasa mbona tumebaki peke etu tu shem kakimbia anaona aibu ama,mwambie asinionee aibu coz hiyo mimi ni mshenga to be,
 
samahani mzee wa buzer,nini kinaendelea humu,na huyu charming lady ndio nani maana namuona sehemu nyingi sana na yukoje?does she fear God?

mkuu,una maanisha nini kwny hilo swali lako la mwisho? kama heading inavojieleza mimi ndo mke wa MtotoSix kuanzia sasa! unaniona sehemu nyingi zipi hebu funguka. . .
 
Last edited by a moderator:
wanaume uwa hatupigani kwa sababu ya mwanamke hata siku moja, akitoka jela atapata jibu la wazi kutoka kwa charminglady. mi ntakaa kimya!

umenena vema huz, pokea busu mwaaaaah shavuni. hv ndivo anapaswa kujibu mume mwenye busara. sema natumia mchina pokea likes za kufa mtu. .. . .
 
Last edited by a moderator:
we mambo ya kuniita majina ya kihuni sitaki....halafu mbona ukaniambia ukitoka kwenye msiba utapita home na hukuja? au ulienda kulala ilemela kwa mtoto wa kichaga? kesho huendi mzigoni tuonane? kuhusu shemeji yako charminglady utamfahamu taratibu tu usiwe na hofu...

mwambie mwambie hny!
 
Last edited by a moderator:
mh? Goodmorning my love charminglady ulichonipa usiku wa kuamkia leo kitaendelea kukumbukwa kwa kipindi kirefu cha mahusiano. Nadhani leo ntashinda kitandani tu mama sina hamu hata ya kunyanyuka. Sijui kwa nilikuwa sijakupata muda wote huo
 
hahahaa swtat ucjali, hayo ni manyunyu bdo mvua!
 
Last edited by a moderator:
najisikia mwepesiiii hata sina hamu ya kuamka natamani niendelee kujibwaga hapa

duh, ctakupa tena kama vile make unaweza achishwa kaz bure! dah hata mapigo yako ni noumer yeeuuwiii. . . . . najuta kuchelewa kukupata!
 
itabidi nifanye michakato haraka, maana tangu nizaliwe sijapata kukutana na shughuli kama yako afu unaniambia ndo kwanza manyunyu....
 
aiseeeeee!! charminglady ni nini kinaendelea hapa?? mbona kama maneno yenu hayanibariki, yananiondolea upako na udhu wangu wa kufunga 6!!!??? aiseeeee :spy: :spy:
 
Last edited by a moderator:
itabidi nifanye michakato haraka, maana tangu nizaliwe sijapata kukutana na shughuli kama yako afu unaniambia ndo kwanza manyunyu....

chelewa chelewa utakuta mwana c wako, haya waja lini hm nimuandae mamangu measkron? afu cjakutambulisha kwa cousin angu eversmillin Gal. . . haya huyo ndo shem wako. wengne utawafahamu taratibu!
 
Last edited by a moderator:
mh? Goodmorning my love charminglady ulichonipa usiku wa kuamkia leo kitaendelea kukumbukwa kwa kipindi kirefu cha mahusiano. Nadhani leo ntashinda kitandani tu mama sina hamu hata ya kunyanyuka. Sijui kwa nilikuwa sijakupata muda wote huo

mmmhh mi nilikuwa napita tu kuhesabu sensa nilikuta mlango wazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom