its official: mi na charmingLady dole Tupu

morning wa ubani MtotoSix umeamkaje papito. pole na mning'inio wa jana. supu i tayari dinning. karibu swtat!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Nafurahi ninapo ona mteja wangu ana furaha namna hii
jiachie kwa uhuru mteja wangu!

morning wa ubani MtotoSix umeamkaje papito. pole na mning'inio wa jana. supu i tayari dinning. karibu swtat!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hapa kunakamchezo kachafu,1. charminglady kuutangazia umma kuwa yupo single na hataki mwenza kwani hataki stress za wanaume 2. wakati ndio sasa anatangaza nia na dhamila ya kuwa mpenzi wa cl mwenye mapenzi ya dhati. 3. Cl anatangazia umma kuwa hayuko tayar kumpenda Wns na anaamua kuondoka jf kwa kusumbuliwa na wns 4. Wns anaingia mkenge anapigwa ban mpaka sept. 5. Cl anaibuka kutoka mafichoni na sababu kibao za kujifich 6. M6 Anatangakuwa mwenza wa cl.hapa kuna mchezo mchafu

Mkuu kwa dataz unatisha!
 
Last edited by a moderator:
Contract is ready to sign
kuhusu Bishanga usijali kabisa hana shida!
waaoo! asante my lawyer, lakin kuna mtu mmoja hapo anaitwa Bishanga ananisakama kweli anadai me nilikuwa mali ya wns, tafadhali naomba umueleweshe my lawyer ruttashobolwa. vp ile contract ipo tayari?
 
Last edited by a moderator:
samahani mzee wa buzer,nini kinaendelea humu,na huyu charming lady ndio nani maana namuona sehemu nyingi sana na yukoje?does she fear God?

we mambo ya kuniita majina ya kihuni sitaki....halafu mbona ukaniambia ukitoka kwenye msiba utapita home na hukuja? au ulienda kulala ilemela kwa mtoto wa kichaga? kesho huendi mzigoni tuonane? kuhusu shemeji yako charminglady utamfahamu taratibu tu usiwe na hofu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom