Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 153,115
- 454,349
Kwahiyo tuliofunga kumbe tunapishana na gari la mshahara
Kwahiyo tuliofunga kumbe tunapishana na gari la mshahara
hahahahah... siamini kama insta babe umenichoka kiasi hiki...yani pakukazia umeona hapo tuuuuNakazia kweli hauna utakatifu
Ndio nilipopaona mm insta babehahahahah... siamini kama insta babe umenichoka kiasi hiki...yani pakukazia umeona hapo tuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
plan A ndo nzuri zaidiHapa labda nikimbie I'd kama mtoa mada alivyosema au Nifunge pm na kufunga pm siwezi maana napishana na gari la mshahara
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahah... sawaaaa insta babe hadi siku unikute madhabahuni nna preach ndio utajua kuwa jimmie nu mtakatifuNdio nilipopaona mm insta babe
Nadhani wana tengeneza ICBM huko. So wameamua kufanya siri ili wasije kuwekewa vikwazo na marekani pamoja na washirika wake wa NATO
Hahaa kwani huwa mnafanyaga nini huko pm sijui ndio pmtutatafutana wengine humu
Sipajui ila kuna mdau ananipa directions za kufika hukoMkuu huko ni dunia nyingine kabisa ndani ya JF hii hii
Hiyo siku nitazimia nitakufa nitazikwahahahahah... sawaaaa insta babe hadi siku unikute madhabahuni nna preach ndio utajua kuwa jimmie nu mtakatifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tuliofunga kumbe tunapishana na gari la mshahara
Kwani huaga kuna nini huko pm?Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.
plan A ndo nzuri zaidi
Unajuwa jema kwako, si lazima liwe jema kwa mwingine... HILO HILO UNALOLIONA KUWA NI JEMA, LINAWEZA LIKAWA BAYA SANA KWA MWINGINE... ndo kilogo kinapoanzia..
magari ya majambazi