Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,793
- 47,493
Nakuamini sana kuliko hata Demiss ,maana Demiss mjanja mjanja sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuamini sana kuliko hata Demiss ,maana Demiss mjanja mjanja sana
Nakuamini sana kuliko hata Demiss ,maana Demiss mjanja mjanja sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambao hatujawahi kupmiwa toka tunaingia jf huu uzi unatuhusu kweli
Huko PM uzi unaweza kuwekwa code lakini kuna darasa la ku uncode huko PM.
Insta babe vipi huko kwako pm ufanye unitumie screenshot kabla hazijaanikwakwani nyie wadau wa PM kuna madudu gani mmeyaficha huko PM hadi mnakuwa na hofu hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kweliHapa labda nikimbie I'd kama mtoa mada alivyosema au Nifunge pm na kufunga pm siwezi maana napishana na gari la mshahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeghairi sikupeleki mtu mwenyewe sitaki natakaNakuamini sana kuliko hata Demiss ,maana Demiss mjanja mjanja sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia kweli hauna utakatifudemiss mimi kwa kweli kwenye utakatifu sipo niwe mkweli tu
sema ndio hivyo sidhan kama PM yangu ina vitu vitakavyonifanya niogope vikiwa hadharan
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteee
Hapana mimi nimewasemea wengine
Hahhaha asante weshuJaribu wa kwetu
Unajuwa jema kwako, si lazima liwe jema kwa mwingine... HILO HILO UNALOLIONA KUWA NI JEMA, LINAWEZA LIKAWA BAYA SANA KWA MWINGINE... ndo kilogo kinapoanzia..