Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,653
- 70,869
Kawivu nimeona mimi babeJf itasimama kwa muda maana
Hili nalo ni janga kubwa. Multiple IDs, unaweza kuzama PM kwa mdada mkawa mnachatika poa tu. Ukazama kwa mwingine mnachatika poa kumbe ni mtu yule yule anakuenjoy tu babimbaaa
hata mim naona mzima lknyupo bize PM...
Yani mimi ulijifanya hunijui kabisa? Sio poa asee mama la mama.
PM yangu safiii kama ukuta wa jumba jeupe la magogoni.
Mke usiniambie huko PM kuna maajabu. Naomba password yako mamii...Mkuu hata kama ni fake yaanikwe yale ya PM🙄🙄🙄
Babe mimi nimesema kama wale wapenzi watazamaji wa hiyo siku.Kawivu nimeona mimi babe
Kama unabisha jifanye kama unajikuna
Hahahahaahhaha mie sijawahi kutumiwa pm na watu wengine. Wewe tuu ndiyo unanitumiaga na mapicha yaa... Sasa jiandae
Kamoyo kalianza kwenda mbio kidogo sasa kamepoa babeBabe mimi nimesema kama wale wapenzi watazamaji wa hiyo siku.
Piemu yangu nyeupe tu kama yako hun
nabishaKama unabisha jifanye kama unajikuna
Heee wivu sina ila roho inaumaKamoyo kalianza kwenda mbio kidogo sasa kamepoa babe
Ulivyokuwa tomaso dada nahisi utakua hujaamini kama ni kwel. Nabadili chap kwa haraka
Hahahanabisha
Nafurahi kusikia hivyo babeKamoyo kalianza kwenda mbio kidogo sasa kamepoa babe