Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 970
- 1,461
Inverter zenye feedback ni zile ambazo huendelea kutoa constant voltage licha ya umeme wa battery kuwa unashuka.
Kwa kawaida unavyokuwa unatumia inverter battery hupungua voltage taratibu.
Hivyo basi kama inveter itakosa mfumo huu wa feedback basi output voltage yake itakuwa inashuka kadri input voltage inavyo shuka.
Mfano:-
Kwa kawaida uwiano wa voltage kwa inveter za input ya volt 12DC na Volt 220AC output ni 1:18.3
Hii ikiwa na maana kila input ya 1volt ni sawa na output ya 18 volt
Hivyo basi kila battery inavyo pungua volt moja basi inapunguza output voltage kwa volt 18.
Kwa maana hiyo basi battery ikiwa full charge ya 12v inverter inatoa volt 220 katika output
Na battery ikishuka hadi volt 10 basi output voltage itashuka hadi 184 Voltage katika output.
Kitaalamu inatakiwa licha ya battery kuendelea kushuka basi inatakiwa output yake ibaki vilevile bila kubadilika,ili kuhakikisha ubora,usalama na ufanisi wa kazi wa vifaa vinavyo chukua umeme kutoka katika inveter hiyo.
FEEDBACK SYSTEM INASAIDIAJE KUIFANYA INVETER IENDELEE KUTOA CONSTANT VOLTGE
kuna uhusianao mkubwa kati ya frequency na voltage,nikiwa na maana high frequency high voltage and low frequency low voltage.
Feedback inacho kifanya ni kubadilisha frequency za oscillator ili kubalance output voltage,feedback system hii inahakikisha ile output voltage uliyo SET wakati battery ikiwa na volt 12,iendelee kutoka hiyo hiyo hata kama battery itashuka nguvu yake.
Feedback hii ni Automatic stabilizer of PWM inverters ambayo inahakikisha voltage ya output haiathiriki na kubadirika badilika kw a input voltage.
Tuangalie mfano wa graphs hizi mbili kwa ufahamu zaidi.
Kutokana na uwepo wa uwiano kati ya input to output ndivyo ikabidi mfumo wa feedback ugunduliwe,mfumo huu ni ule ambao unasaidia kutambua kuwa battery inapungua nguvu.

Pia waweza kuangalia moja ya inveter kama hii tulio itengeneza hapa youtube video
Pia waweza tembele blog yetu HAPA

Last edited by a moderator: