Itakuwa Vipi kama Jamii Forums ita......

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
......by any reason kama JF haitakuwa hewani kwa muda wa mwezi mmoja?
Unadhani wewe utakuwa na hali gani? Ni members gani wataathirika zaidi.
Je unadhani serikali itapumua? Au mafisadi watanawili?
Maadui wa umma watakenua? Au harakati zitahamishiwa facebook na twitter?
Najiuliza mambo mengi,
vp kama itaanzishwa Forum ya the banned yaani kama 'Prison' fulani hivi kwa ajili ya wenye ban tu wengine wasiwena access ya huko unadhani nini kitakuwa kinajadiliwa kule? Ni nani wataongoza kwa kupelekwa?
Kwasababu za kiudadisi je unadhani ban zitaongezeka?
 
Ndoto yako ishindwe kabisa maana JF imekuwa sehemu ya maisha yetu, it is more than a political machine! Ina contain vitu vingi ila hata hivyo Mpwa uliwaza nini hadi ukaja na wazo kama hilo?
 
Hakuna hata moja kati ya unayowaza linaweza kutokea
 
Ndoto yako ishindwe kabisa maana JF imekuwa sehemu ya maisha yetu, it is more than a political machine! Ina contain vitu vingi ila hata hivyo Mpwa uliwaza nini hadi ukaja na wazo kama hilo?

Nikutokana na umuhimu wake ndiyo maana najaribu kujiuliza maswali tofauti.
 
ff,ritz,rejao,malaria sugu,twahil,mzee, atafurahi sana kwa sababu kazi aliyotumwa itakuwa imemalizika na ataondokana na kutumikia id kumi kwa wakati mmoja.
ataadhimisha siku ya kupata uhuru dhidi ya utumwa wa id za kupotosha.
 
Nimependa ulivyojibu!!

Mi nadhani nitaathirika kwa kiasi kikubwa sana, kwani hapa jamvini licha ya kuwa niko mbali na nyumbani, kunanifanya niwe kama niko nyumbani kwa kupata kila kitu kinachoendelea sehemu yeyote ya nchini kwetu. So proud of JF.
 
Mbona zamani kulikuwa hakuna mobile phone NA internet NA tulikuwa tunaduna pow.
 
Mwenzangu, hivi hajui ndio kwanza nina wiki moja tu humu JF! mie kanikera kweli na ndoto zake za kimweri...lol

dah hapo kwenye red umenikumbusha mbali saaana enzi hizo primary darasa la tano somo la Kiswahili mnasoma kwa kupokezana... lol
 
daaah isitoke.....unakuta wakati mwingine unamachungu ya kila aina ukiingia JF yanayeyuka.....nitawamiss watu kibao
 
ff,ritz,rejao,malaria sugu,twahil,mzee, atafurahi sana kwa sababu kazi aliyotumwa itakuwa imemalizika na ataondokana na kutumikia id kumi kwa wakati mmoja.
ataadhimisha siku ya kupata uhuru dhidi ya utumwa wa id za kupotosha.
hivi wewe usipotaja hizo ID huwa unaona siku yako haijakamilika? Hii ni thread ya tatu sasa naona unataja hizo ID... stay away from them plz~
 
Back
Top Bottom