Israeli wanakufa njaa karibuni

Adiosamigo

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
4,610
4,186
Israel wapo hatarini kufa na njaa nchi nyingi zimeogopa peleka meli sababu katangaza official yupo vitan.

Wengine wanaogopa peleka meli sababu Insurance imepandisha bei na wengine wanaogopa Hamasi asizipige hizo meli.

Unambiwa ma supermarket vitu hamna na kama vipo bei yake ni kubwa sana.

Poleni sana wafuasi wa Israel safari hi vita ikiendelea ndio bye bye Israel labda mashoga watapungua duniani bada ya kupotea kwa taifa la Israel
 
Umenikumbusha kipindi cha awamu ya kwanza kuwa Africa ya kusini watakosa hiki au kile kutokana na sanctions!,Leo ndio kimbilio la kila mwafrika!,sisi bado tunapigana na ujinga, umasikini, maradhi na rushwa, SA ndio wanakofia na kutibiwa royal families zetu
 
Israel wapo hatarini kufa na njaa nchi nyingi zimeogopa peleka meli sababu katangaza official yupo vitan.

Wengine wanaogopa peleka meli sababu Insurance imepandisha bei na wengine wanaogopa Hamasi asizipige hizo meli.

Unambiwa ma supermarket vitu hamna na kama vipo bei yake ni kubwa sana.

Poleni sana wafuasi wa Israel safari hi vita ikiendelea ndio bye bye Israel labda mashoga watapungua duniani bada ya kupotea kwa taifa la Israel
Nawe ni wale wale magaidi, huna hoja. Umegonga gonga kichwa chini hadi akili zimehama siku hizi.
 
Israel wapo hatarini kufa na njaa nchi nyingi zimeogopa peleka meli sababu katangaza official yupo vitan.

Wengine wanaogopa peleka meli sababu Insurance imepandisha bei na wengine wanaogopa Hamasi asizipige hizo meli.

Unambiwa ma supermarket vitu hamna na kama vipo bei yake ni kubwa sana.

Poleni sana wafuasi wa Israel safari hi vita ikiendelea ndio bye bye Israel labda mashoga watapungua duniani bada ya kupotea kwa taifa la Israel
Una akili ndogo Sana wapalestina ndiyo wstakufa lkn si Israel.
 
Israel wapo hatarini kufa na njaa nchi nyingi zimeogopa peleka meli sababu katangaza official yupo vitan.

Wengine wanaogopa peleka meli sababu Insurance imepandisha bei na wengine wanaogopa Hamasi asizipige hizo meli.

Unambiwa ma supermarket vitu hamna na kama vipo bei yake ni kubwa sana.

Poleni sana wafuasi wa Israel safari hi vita ikiendelea ndio bye bye Israel labda mashoga watapungua duniani bada ya kupotea kwa taifa la Israel
Mpuzi Sana wewe?. Ulivyosema mashoga ndio ulipoharibu. Shoga ni wewe
 
Israel wapo hatarini kufa na njaa nchi nyingi zimeogopa peleka meli sababu katangaza official yupo vitan.

Wengine wanaogopa peleka meli sababu Insurance imepandisha bei na wengine wanaogopa Hamasi asizipige hizo meli.

Unambiwa ma supermarket vitu hamna na kama vipo bei yake ni kubwa sana.

Poleni sana wafuasi wa Israel safari hi vita ikiendelea ndio bye bye Israel labda mashoga watapungua duniani bada ya kupotea kwa taifa la Israel
Wapalestine ndio watakufa njaa na umeme na maji hakuna wamepigwa lockdown ya kufa mtu hiyo gaza imezingirwa na vifaru huku mvua ya mabomu ikinyeesha

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Rubbish.
No chakula, no gas, no water, no umeme lazima kieleweke tu. Wasipodunguliwa kwa kombora, watakufa kwa njaa hawa makobazi. Ni wakati wa Allah kuwatetea watu wake kama anaweza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ฌ wenye akili tunasimama na YEHOVA MEKADSHKEM, Yehova shalom, yehova Jire huyo ndio yule aliyejibu kwa moto pale kilimani Karmel ndio huyo Mungu wa Israeli.
 
Ukraine wanapigana vita na watusaidia vyakula Africa yaani hii vita ya wiki moja wafe Kwa njaa? Hivi nyie mafala mnasoma hata vitabu lkn
 
Wapalestine ndio watakufa njaa na umeme na maji hakuna wamepigwa lockdown ya kufa mtu hiyo gaza imezingirwa na vifaru huku mvua ya mabomu ikinyeesha

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Sawa tunakubali wa Palestine wanauliwa kwa kuvunjiwa majumba, kukatiwa umeme, maji na chakula lakini uzuri dunia nzima imeisha jua Israel kumbe ni nchi dhaifu sana Super power hawezi pigana vita bila kusaidiwa ๐Ÿ˜‚

Pili Israel ataishia kupiga tu majumba lakini Hamasi haguswi missile zake zinapiga Israeli kama kawaida

Tatu Israel atachezea kichapo hatakisahau maisha yake yeye na US leo Hezbullah amemuambia US hizo Fleet carriers zako hazitutishi kitu

Poleni vita si kuvunja majumba, kuwauwa wanawake na watoto mpaa magari ya Ambulance wanazipiga kweli safari Israel amechezea kichapo hata sahau.

Naukita kuja Israel kachezea kichapo tazama action zake jeshi Lake limesogea mpakani halingi Gaza kuwaogopa Wanaume yeye anaenda piga watoto na wanawake ๐Ÿ˜‚
 
Rubbish.
No chakula, no gas, no water, no umeme lazima kieleweke tu. Wasipodunguliwa kwa kombora, watakufa kwa njaa hawa makobazi. Ni wakati wa Allah kuwatetea watu wake kama anaweza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ฌ wenye akili tunasimama na YEHOVA MEKADSHKEM, Yehova shalom, yehova Jire huyo ndio yule aliyejibu kwa moto pale kilimani Karmel ndio huyo Mungu wa Israeli.
Sawa lakini kwani ni mimi ndio nilio sema si gazeti Lao haha hivi unarukia kunijibu unadhani nimetunga ๐Ÿ˜‚
Soma magezeti ya Israel wanasema vyakula hamna stock empty

Na chakula kitakuja vipi meli zinaogopa kuja kwenye nchi ina vita na umeona.leo Airport yao imesambaritishwa au bado

Ukiona mtu anakatia watu maji, chakula umeme basi akili zake zimemruka ๐Ÿ˜‚ kwa kipigo takatifu.
 
Unajua ya kwamba israel pamoja na kuwa sehemu kubwa ni Jangwa lakini ndio nchi inayoongoza kwa kilimo ?
 
Nyie wajukuu wa mudi hivi ni lini mtapata akili timamu?.
Tanzania imepeleka wasomi 260 wakajifunze kulima kwa kutumia akili.
Nyie mnachakazwa mnabaki na Allah Akbar Allah Akbar
 
Unajua ya kwamba israel pamoja na kuwa sehemu kubwa ni Jangwa lakini ndio nchi inayoongoza kwa kilimo ?
Wanao Lima ni watu gani ๐Ÿ˜‚ wafanyakazi wote wako hao ni wa Palestin sa nani atafanya kazi hio ๐Ÿ˜‚

Afu Israel hajitegemei kila kitu kuna vyakula vinatoka nje we tulizana na bado watajuta mchezo ndio umeanza ๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom