ISRAEL Mujuni NKONGO ndani ya Kagame Cup!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Yule refa feki, mwanaharamu ametajwa kwenye orodha ya watakao chezesha mechi za kombe la Kagame.Akitajwa kuchezesha mechi yoyote ya Yanga sitaingia uwanjani..nina areji na sura yake
 
Hebu nipe sababu za msingi ya kumchukia au kumpa majina yote hayo huyu refa.
 
Yule refa feki, mwanaharamu ametajwa kwenye orodha ya watakao chezesha mechi za kombe la Kagame.Akitajwa kuchezesha mechi yoyote ya Yanga sitaingia uwanjani..nina areji na sura yake

yaani kagame lazima iwe mbaya kwa yanga msimu huu..
Forza Azam FC
 
Back
Top Bottom