Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
- Thread starter
- #81
kwani hapa SC mnajadili nini exactly?? Israel kupewa misaada na Marekani au Marekani kuwa superpower? Israel has always been a "puppet" of USA pamoja na kwamba wanadai wana intelligence service ya hali ya juu but no one can beat USA. and its obvious sehemu aliyoko Mmarekani ujue ana interest zake hapo. case closed ama???
Kuna watu wanabisha na kudai kuwa eti Israel ndo super power na kwamba Israel haipokei misaada.
Sasa najua wewe you get it. Hawa wengine hawa ndiyo vichwa ngumu.