Israel inaomba silaha!!

Kumgusa Israel nikugusa mboni yajicho la Mungu,ajaribu m2 aone

Ona mnazi mwingine huyu! Mnachekesha kweli nyinyi.

Huyo mungu wenu alikuwa wapi wakati Hitler anawakaanga kama vipapatio hao Wayahudi?
 
Udini usio makini unafanya watu washindwe kujadili hoja vizuri...

Israel bila Marekani haiwezi kushambulia Iran itakuwa ni kujitafutia balaa tu...:hand:
 
Siichukii Israel.

Nakataa upotoshaji wa baadhi ya watu wa kuifanya Israel muweza wa yote ilihali si kweli. Hitler aliwakaanga Wayahudi kama njugu. Wangekuwa waweza wa yote wangekaangwa hivyo?

Israel inaitegemea sana Marekani lakini kuna watu wanataka watuaminishe ni Marekani ndiyo inaitegemea sana Israel.

Halafu usidhani hiyo misaada ya Marekani kwa Israel haina masharti. Marekani still calls the shots on a lot of things.

anaglia picha ya sinema ya escape from sobibor ndiyo utagundua jinsi watu hawa walivyo na courage. Hitler aliamua kujipiga risasi kichwani badala ya kunywa chai mwenyewe! wewe hawa wayahudi wana akiri sana na wabunifu. unajua vita vya 1967 walitumia njiwa kugundua mahandaki ya waarabu na kuwatwanga kama vile expell iuavyo mbu? unajua waarabu vitani walikuwa anvaa nguo sawa na makuruta ili wasijulikane vyeo vyao wakikamatwa? basi myahudi akiwakama huwa alikuwa anwavua nguo na kuwabakiza na chupi tuu. mwenye chupi ya polyista basi ni afisa wa cheo cha juu na mwenye chupi ya cotton ni kuluta. soma kitabu cha the current worrior- Arriel Sharon. Utasisimka sana . nipe email yako nikutumie!
 
Where is the evidence?

The Federal reserve has five board members, it's Chairman and vice chairman are Zionist, (Randall Krozner and Ben Bernanke). Why do you think Ben is still in that position to this day? Go figure! They control the US with the remote control so to speak.

These guys lend money to the US Government by printing paper, fiat money (the so called $) which is not backed by gold. You probably have forgotten who is the biggest holder of us government debt.
 
Wewe unaleta mi conspiracy theories ya zamani badala ya kuniletea ushahidi unaosema wanaomiliki Federal Reserve ni Waisrael! Jipange upya kaka.
 
Wewe unaleta mi conspiracy theories ya zamani badala ya kuniletea ushahidi unaosema wanaomiliki Federal Reserve ni Waisrael! Jipange upya kaka.
Haya bwana ila tofautisha Israel na Jews kwasabau kuna warabu na christians ambao ni waisraeli pia.
BTW nakubaliana na wewe kuwa israel inahitaji resources za US kupigana na Iran
 
Uvamizi wa Entebbe nao unauhesabu? Wacha maskhara bana.

Halafu kama hao wa Israel are all that, kwa nini wanaenda Marekani kuomba misaada ya zana za kijeshi? Si watengeneze tu za kwao...
Wewe endelea kujidanganya hivyo. Labda jiulize, kwa nini urafiki wa Marekani na Israel hauishi. Ninyi wenyewe mnasema Marekani hawezi kuanzisha urafiki na nchi ambayo hatafaidi kitu. Sasa ni mambo gani ambayo Marekani inafaidi kutoka Israel? Wayahudi ndiyo kichwa cha dunia hii hata ukienda Urusi na Ujerumani utakuta scientists wengi ni wayahudi. Sijui kama unajua kwamba Ansbert Einstein alikuwa ni Myahudi.
 
Einstein ndo mwanasayansi pekee tu hapa duniani?

Eti Wayahudi ndiyo kichwa cha dunia....unacheza wewe!!!!
 
Back
Top Bottom