Isogole sec ipo mkoa gan?

Prince edu

Member
Dec 16, 2011
78
0
Wadau naomba mnisaidie kunitaarifu Isogole sec ipo mkoa gan na kama kuna mtu ana contact plz anisaidie,ntashukuru kwa msaada wenu!
 
Duh!dogo,nakushauri uende private tu,otherwise dr ndalichako atakula kichwa form 6.
 
Duh!dogo,nakushauri uende private tu,otherwise dr ndalichako atakula kichwa form 6.

hahahahaha! dah sikuhizi Madogo wanakazi! kipindi kile shele zote za kidato cha tano zilikuwa zinajulikana!
sasa hiyo! bora uende private tu mkuu!
 
Isongole ipi wilaya ya Ileje mkoa wa Mbeya, kama unaweza kuomba uhamisho we omba mapema maana huko hakuna kitu kabisa mkuu ama kama pesa ipo nenda private tu basi
 
Dah! Jaman mböna mnanitisha ivyo ina maana iko bush kabisa? Ishu ni uwezo tu hamna ningesoma hiyo private,lkn inanibid niende 2 ntake nctake?
 
Wasikukatishe tamaa we nenda kapge shule dogo...shule zote za gov znafanana cha muhimu pga mapind ukienda uko m
 
Back
Top Bottom