OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
Jamani kashasema ni untimed relase of the valid information
Tunang'ata sana maneno sisi Watanzania ndo tatizo, tunashindwa hata kumwambia mtu hujanawa uso vizuri una tongotongo........cha maana na sisi Watanganyika tukae na tuwe wazi sasa juu ya huu muungano...... hata urithi ikibidi huuzwa jamani sembuse kuvunja na kujenga upya kama kuna haja ya muungano wenyewe?????
Ila na kwako kaka Zitto hivi kero ni rasilimali tu????
Kwani Budget revenues huwa tunatenga kwanza zinazotokana na madini na utalii kabla ya kuwapa divident yao hao Wazanzibari???? Au hapa inakuwaje ???
Umeme pia waanze kufua wa kwao sasa, it is high time kijitegemea...
Interests surrounding huo muungano wala haziko kama tarajiwa anymore kwa nyie tuliowapa sauti wekeni wazi azma ya kuvunja hii kitu na kama kuna umuhimu tuanze upya kwenye fullscape mpya na wino wa kisasa...............the old glue doesnt hold anylonger........