Is Zitto Kabwe naive or a dangerous populist?

Jamani kashasema ni untimed relase of the valid information

Tunang'ata sana maneno sisi Watanzania ndo tatizo, tunashindwa hata kumwambia mtu hujanawa uso vizuri una tongotongo........cha maana na sisi Watanganyika tukae na tuwe wazi sasa juu ya huu muungano...... hata urithi ikibidi huuzwa jamani sembuse kuvunja na kujenga upya kama kuna haja ya muungano wenyewe?????

Ila na kwako kaka Zitto hivi kero ni rasilimali tu????
Kwani Budget revenues huwa tunatenga kwanza zinazotokana na madini na utalii kabla ya kuwapa divident yao hao Wazanzibari???? Au hapa inakuwaje ???
Umeme pia waanze kufua wa kwao sasa, it is high time kijitegemea...

Interests surrounding huo muungano wala haziko kama tarajiwa anymore kwa nyie tuliowapa sauti wekeni wazi azma ya kuvunja hii kitu na kama kuna umuhimu tuanze upya kwenye fullscape mpya na wino wa kisasa...............the old glue doesnt hold anylonger........
 
Mimi sioni sababu ya kumsifu Zitto Kabwe kwa kauli yake ya mafuta na Gesi waachiwe wa Zanzibari wenyewe kwanini kasema sasa? Amekuwa bungeni miaka saba sasa mbona hatukusikia amepeleka hoja binasfi kuhusu swala hilo?.

Tangu tulipoungana kwenye hazina ya taifa mapato yote yanakusanywa kutoka pande zote za Tanzania, kwanzia Uvinza, Malagalasi,, mapango ya Amboni, kondoa, Irangi, Isimani, kimondo cha Mbozi,,Kalenga, Kilimanjaro, Ngorongoro, Serengeti, Mikumi, Seluu, Bagamoyo, Madini ya Nzega,Kahama, Geita, Mara, Arusha,,,,Singida, Dodoma, Igunga, Ulanga, Same, sasa gesi ya Songosongo, makaa ya mawe ya mgodi wa Kiwila (, Mafia, na Mkuranga, Mnazibay, ) pesa zilizopatikana katika vyanzo jatwa vyote vikiingia kwenye fuko la Muungano Zanzibar walipewa mgao, nongwa inakuja sasa kwakuwa wao nao wataanza kuchimba wanataka kufaidi pekeyao.

Leo wanaposema visiwe vya Muungano wakatia serikali ya Tanganyika haipo hizo maliasili tajwa zitasimamiwa na serikali ipi?. Mimi nafikiri iilikuwa muafaka kuzungumza swala hili kwenye kuandikwa kwenye katiba mpya.

Moja kwa moja naona Zitto Kabwe sio mkweli kwa sababu kuu mbili 1. Utasemaje kila upande usimamie maliasili zake wakati akijua fika Tanganyika ilikufa?.2 Kama alifahamu swala hili mapema mbona hakupeleka hoja binasfi ya kutaka kupata ufafanuzi au kutangaza mgogoro wa kikatiba kwakuwa marekebisho yaliofanywa na baraza la wawakilishi moja kwa moja lilivunja kama sio kubomoa katika ya Muungano? Mbona amekuwa kimya mpaka sasa wakati katiba zinapingana?. Badala yake akaenda kuanzisha mjadala wa kukataa posho wakati bunge lililopita alikuwa anachukua?..

KAMA BUNGE LETU LINGEKUWA MAKINI KAZI YA KWANZA BAADA YA KUAPISHWA INGEKUWA NI KUFANYA MAREKEBISHO YA KATIBA ILI ZIENDE SAMBAMBA.
 
Kumuelewa mtu ni jambo moja, kuelewa anachozungumzia kimetoka wapi ni jambo tofauti. Mada za kuvuja muungano na kuondoa baadhi ya vitu katika mungano sio mambo ya leo wala jana, tangu juzi yapo. Hoja zimekuja kwa kasi baada ya dalili za mafuta kuwepo Zanzibar, ukifuatilia katika akili za Uamsho, directly utaona kuwa vitu vyote viwili vinaingiliana i.e. mungano na mali. Sasa udini hauepukiki kwa sababu target ya matukio ni makanisa, how can you differentiate the move and the outcome?
Kama viongozi wa Zanzibar na bara wako kimya, then Zitto yuko sahihi kama kiongozi na mwanasiasa. Iweje matukio yote hayo wasemaji wa Serikali pande zote wako kimya, tena kwa issue ndogo kama ya misiba wanakuwa kifront?
 
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.

My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.

You shouldnt even have bothered to this guy'ls thread,his abusive language speaks a lot about him/her!! I was expecting to hear altenative opinions that show yours were shallow!!
Most likely he/she is dying of Jealousy as you are becoming more and more popipular!!
 
Mimi nimeamua kuendeleza huu mjadala kwa lugha hii ninayoifahamu zaidi, ambapo sitolazimika kutafsiri mawazo yangu kutoka lugha nyengine kabla ya kuyatoa.

Kwenye hizo red:
- Unataka kusema kuwa Zitto amezungumzia suala la mafuta ili kuwaridhisha Waislamu na yeye amekuwa akilalamika kuwa ni "mhanga wa dini au mfumo wa kikristo"? Hayo ni mawazo yako au umetafsiri mawazo yake badala ya maneno yake?

Kwenye blue
- Kukaa kimya na kusubiri muda muafaka: Tatizo kubwa kwa TZ na Watanzania, kwa kuogopa kwetu kusema ili tusiwakere akina nani, na kusubiri wakati muafaka wa kusema na kutenda, ndiyo yaliyotufikisha hapa. Silence yetu juu ya kero za Muungano, tayari tuna miaka 48 tangu tuungane, na bado tunatafuta muda muafaka wa kuzungumzia kero na kasoro za Muungano. La mwisho ni uamuzi wa Raisi wetu kuwa tujadili katiba ya Muungano bila ya kuugusa Muungano, tusubiri muda muafaka.

Mimi kama wewe, sikubaliani na kupingana na Zitto juu ya madai yake ya mafuta, pia sitojadili kama yeye ni "mjinga au anatafuta umaarufu", lakini ninakubaliana naye kwa kuthubutu kusema pale wengine wanaponyamaza kwa kisingizio cha kila siku cha kusubiri muda muafaka. Na kwa hili ninakubaliana naye zaidi, hata kama mafuta hayahusiani moja kwa moja na vurugu za ZNZ lakini chanzo chake ni kero za Muungano; ambazo zilianza usiku wa Jumamosi na mpaka sasa, hakuna public figure yeyote - Maraisi wawili, Waziri Mkuu, Makamo wa Raisi watatu, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Waziri wa Mambo ya Ndani..... wote wako kimya, wanasubiri muda muafaka.

Ikiwa kukaa kimya si ujinga, pia kukaa kimya kwa kero za Muungano si werevu.

Haswa! Siongezi nisije haribu bure!!!
 
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.

My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.

Your statement Mr Zitto Kabwe instigated the rioters
 
Hon.Zitto,

As I do not buy the tough terms employed by Kamanzi to describe, but I think there are so many issues Zanbibaris have been claiming to be not part of the Union. Is Oil and Gas so important that should not be part to make Union survive at the satfaction of both parties? To me oil and gas is a tip in the icebarg. Instead of going public to give statemets for these important matters, it's better to use party pratform or paliament or rather air your views in Warioba Committee. This is said with faith good faith because todate all important decisions have been left to be done in political corridors. Going to public may make some people brand you as political oppotunist.

Also, timing is important though some members here have tried to join hands with you with this regard. If you take this group "uamsho", their aftermath has been cooking up. It is unfortunate that their destructive barbaric cations came few minutes after your statement. But for someone like you whom I believe you follow closely the issues in this country, you knew this group has been there. It might have its own agenda but they have been claiminga devide between our two inited countries. Now speaking something however good it is that gives such group a greenlight to justify their claims might be taken to be outrageous as it has indeed been taken by others.

You have always identified yourself to take your own stand of which at times you make statements that are interpreted by some people as if you are a stooge of CCM or have been planted by big potatoes in the government. To avoid this you are not living in isolated island. You belong to the big and wide community-CDM that is full of intellectuals, wise, charsimatic and patriotic people. It could be better to pass some of your statements to them for proofreading and hence farther input, advice and opinion.
 
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.

My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.

Happy to hear from your side Zitto. If it is true that the statement was not the first, then woukd you agree with me that you are the cause of what happened in Zanzibar since the people of zanzab might have used ur statements to riot. I have been following Zitto's politics. On my side what the young politician, but not the only young politician is doing, is to re-gain public trust which he lost few years back.
It is obvious that Zitto we knew is not the same Zitto of today though is striving to make people believe that he is still the same Zitto. Katika Bunge la Mzee Sitta Zitto was the shinning star, but to day is not. He has been giving several comments which in most cases only Mwananchi newspaper found neworthness in it. I think in becuase the MP is a good friend of Denis Msaki, Mwananchi Deputy Chief Editor.
 
Kama muungano huu haujapata kukubalika au kukatalika kwa referrendum, haya matatizo mengine hayataisha.

Na nina suspect hata referrendum haitamaliza manung'uniko yote. Lakini angalau baada ya referrendum, serikali ikiamua kuwafanyia "wachochezi" wanaoandamana kwa fujo, inaweza kuwa justified kwamba inatetea muungano uliokubaliwa na kubarikiwa na wananchi.

At this point hata hatujui watanzania wa pande zote asilimia ngapi wanaukubali muungano. Kwa hiyo haya maswali mengine ya sijui mafuta yawe issue ya muungano au la ni moot, maana hatujathibitisha uhalali wa muungano wenyewe kwanza.

Tuuhalalishe muungano kwa referrendum, tujue wananchi wanautaka au hawautaki. Kama hawautaki tuuvunje, kama wanautaka ndipo hapo tunapoweza kujadiliana mafuta ni swala la muungano ama la.
 
sisi ni walalamishi.... hata mtu akipata 80% majority decision, basi hiyo 20% itakua vocal kuliko chochote
 
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.

My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.

Zitto,
Surely everyone is entitled to his/her opinion. But any policy opinion had to have some reasoning behind it. May be it would be better to let us know what was your reason(s) for the position you took, so that both your supporters and opponents might decide whether to agree or disagree with you.

Secondly, probably you can as well elaborate what you meant by the so called 'commercial level' and the 'upstream level'. Your policy views might hold water if clearly understood.
 
Leo Wazanzibari wanamuona Zitto a HERO. Lakini siku ile Zitto na CDM yake walipokuwa wanashinikiza bungeni muswaada wa mabadiliko ya katiba kwamba SUALA LA MUUNGANO lijadiliwe, hadi kufikia Zitto na CDM kutoka ndani ya Bunge la JMT. Hawa hawa Wazanzibari kwa kupitia wabunge wao wa CCM na CUF wali-wananga akina Zitto na CDM.

Tatizo mimi ninaloliona Wazanzibari hawajui wanalolitaka, ndio maana ninaamini agenda ya UAMUSHO sio Muungano.

Wazanzibari shukuruni Zitto na CDM kwani juhudi zao at least zimewafanya CCM kuondoa hiyo marufuku ya kutojadili suala Muungano kwenye katiba mpya.
 
sisi ni walalamishi.... hata mtu akipata 80% majority decision, basi hiyo 20% itakua vocal kuliko chochote

Alexis de Tocqueville in his seminal "Democracy in America" talks about the importance of valuing the input of all minorities. This is an admirable stance when taken in context.In fact according to Nyalali's Commission by 1992 the majority of Tanzanians did not want a multi party system, but the infinite wisdom of CCM -of course under the pressure of the tide of time,IMF, Perestroika, Fall of Berlin Wall etc- decided to go with the minority decision. Next thing you know, CCM hijacked the multipary championing movement and changed a few phrases in the right bluebooks, without changing anything structural. Giving us a quasi-multi party system up to today.

But there are some yes/no issues that are to be decided by majority vote without infringing too much the views and rights of the minority. The minority has a responsibility to respect the weight of the majority.

Part of my core point here is that, up to this point, we do not know which is the majority view and which is the minority. So even when the state is using FFU to clamp down on protesters, it cannot say wholeheartedly that it is acting in the interest of the majority.

At least if we have a credible referendum, then we find out only 20 percent on both sides of the Union, and still the 20% are persisting with demonstration with innuendo to dismantle the Union, the government can rightfully claim that these 20% are not respecting the views of the majority and deserve to be fought using the organ of the state.

Right now the Tanzanian government could be repressing the views of the 80% and still claim to act in the interest of the majority. We have no way of knowing until a proper referendum is conducted.
 
I DOUBT A LOT ABOUT DIS MAN
LOOK AFTER THIS
KWANZA; JAMAA ANA HISTORIA TOKA ALIPOKUWA CHUO PALE-UD YA KUPENDA KUONEKANA YEYE NDO YEYE NA HII NI HATARI SANA KTK SIASA YENYE KUJALI UMOJA (MBINAFSI NA MPENDA SIFA ZA KIJINGA-POPULAR POLITICAL CELEBRITY)
PILI; KUNA USWAHIBA WA KARIBU SANA KATI YA YEYE NA BABA RIT1 , HAFU ILI KUTHIBITISHA HILI JAMAA KILA JAMBO LINALOMHUSU MH. LAZIMA AMTETEE KUWA HATA HALI NGUMU YA MAISHA YA SASA SI KUMLAUM RAIS BALI WATENDAJ WAKE. HV KWELI INAINGIA AKILIN HII AU SIASA UCHWARA (kumbuka alikataa kuingia Bungeni kisa et asimdhalilishe Rais kwa Kutoka Nje!)
TATU ; JAMAA ANABP KUCHOKONOA KUHUSU KUGOMBEA URAIS 2015 HUKU AKIMSHAWISH SWAHIBA WAKE JK KUPITSHA SHERIA INAYORUHUSU KIJANA WA MIAKA 35 KUGOMBEA URAIS-BILA HATA KUFANYA MAKUBALIANO YA MSING NA CHAMA CHAKE
NNE; JAMAA ANANGANGANIA KUENDEKEZA SIASA ZA TAIFA MBELE CHAMA NYUMA KAMA KAULI MBIU YAKE KUMBE NI ILI TU KUFICHA AGENDA YA NDANI ALIYONAYO, HUKU AKI5TOFAUTIANA KIITIKADI AN CHAMA CHAKE-CHADEMA
NB. JAMAA YUPO CHADEMA KWA SABABU ALISOMESHWA MASTERS ZOTE KWA RUZUKU ZA CHAMA ILA SIDHANI KWAMBA NI MWENZETU HUYU.
 
C'mmon now, cut Zitto some slack; Zitto's position is in fact is he position of his party as it is articulated in their election platform of 2010. Alichokisema Zitto kwa kirefu ni msimamo na ahadi ya CDM kwa Watanzania.

Ilani yao (kifungu 11.1) inasema hivi:

Serikali ya CHADEMA ina mpango madhubuti kabisa wa kuimarisha Muungano na kuhakikisha kuwa kero zote za Muungano zinaondolewa katika mwaka wa kwanza na kuachana na utaratibu wa kimazingaombwe unaofanywa na serikali ya CCM na kutishia Muungano wetu. Serikali ya CHADEMA itachukua hatua zifuatazo katika kuiwekea mazingira mazuri kwa maendeleo na katika kuimarisha Muungano:
• Suala la mafuta litaachwa mikononi mwa Serikali ya Zanzibar hasa tukizingatia kuwa visiwa hivi vina raslimali ndogo sana za kiuchumi. Masuala ya raslimali nyingine yatajadiliwa ili kuhakikisha kuwa Zanzibar inanufaika na raslimali za Tanzania na vile vile inatoa mchango wake sahihi katika uchumi wa taifa.

Sasa, inaweza kujengwa hoja ya timing - kitu ambacho bila ya shaka Zitto huwa anajikuta matatani nacho mara kadhaa sasa. Lakini as a matter of substance hajajenga hoja ambayo ni kinyume na CDM na as a matter of fact ametetea tu msimamo wa chama chake. Kufikiria kuwa ni position yake binafsi siyo sawa hata kidogo.
 
..unajua wazanzibari wamelalamika to the point kwamba hata wa-tanganyika kama Zitto wameanza kuamini kwamba Tanganyika inawaonea na kuwanyonya wa-zanzibari.

..kinachonisumbua mimi ni Zitto kujivika joho la kuwa msemaji na mtetezi wa wa-zanzibari. sasa katika mazingira hayo nani atatutetea wa-tanganyika? hivi muungano unatenda haki kwa wa-tanganyika?

..nilitegemea Zitto akiwa kama mtanganyika atatueleza uhalali wa wa-tanganyika kuwalipia umeme wa-zanzibar? viwanda vyetu vinakufa kwa mgao wa umeme wakati tanesco inapeleka umeme zanzibar. umeme unauzwa kwa bei ya chini zanzibar na bado serikali yao haitaki kulipa madeni yake kwa tanesco.

..tuna mawaziri wabunge wa Zanzibar ambao wameteuliwa kushika wizara zisizo za muungano, lakini zitto yuko kimya. hata katika mawaziri aliokuwa akishinikiza wajiuzulu waziri huyo mzanzibari hayumo ingawa wizara yake ilikumbwa na kashfa mbili kubwa.

..kabla ya kutueleza kuhusu masuala ya mafuta ambayo hatuna hata uhakika kama yapo, bora zitto angetutetea kuhusu uonevu na unyonge wa wa-tanganyika ndani ya muungano huu.

..mwisho sikubaliani na mapendekezo ya zitto kwamba tuwe na muungano wa serikali tatu.
 
C'mmon now, cut Zitto some slack; Zitto's position is in fact is he position of his party as it is articulated in their election platform of 2010. Alichokisema Zitto kwa kirefu ni msimamo na ahadi ya CDM kwa Watanzania.

Ilani yao (kifungu 11.1) inasema hivi:

Sasa, inaweza kujengwa hoja ya timing - kitu ambacho bila ya shaka Zitto huwa anajikuta matatani nacho mara kadhaa sasa. Lakini as a matter of substance hajajenga hoja ambayo ni kinyume na CDM na as a matter of fact ametetea tu msimamo wa chama chake. Kufikiria kuwa ni position yake binafsi siyo sawa hata kidogo.

Hapo kwenye red ndipo panagomba na Zitto anatakiwa atafute tiba yake haraka sana na kwa nguvu kubwa otherwise his political capital is not as strong as he would like to believe.

Statement yake angekuwa ametoa kwa niaba ya chama chake I am almost certain watu wangekuwa wanaongea vingine kabisa. But the statement imegeuka kuwa inquery about Zitto - why? Because people are reading every thing from this politician while holding his supposedly 'catalogue' of solo perfomances! And if you ask me hii hali imesababishwa na nini, ni kwa sababu Zitto like any aspiriring young politician amekuwa anarudia kosa lile lile la kutoa statement kwenye mambo muhimu kama yeye na kuwaacha critics wanahoji - why didnt you do it as a team?

Lakini pia, kwa mazingira ya siasa za Tanzania, kwa kiongozi wa juu wa chama cha siasa kukaa chini na kutoa statement nyeti/muhimu ya kifaifa kama as private individual (na sio kama chama) is still new. Watu wamezoea kuona matamko rasmi ya chama zaidi kuliko kiongozi mmoja mmoja. Na wanaposikia anasema huu ni msimamo wangu binafsi it is even more troubling. Maybe with time itazoeleka lakini kwa sasa inaweza kuwa 'a self-distructive strategy'.

Zitto is increadibly talented and has a lot to offer and it will be a shame to see him constantly defending about this or that statement. Haya makosa yanaepukika.

Having said that Zitto, nasubiri kuona another round ya suluba kwa CCM kwenye bunge la budget. Uchumi mgogoro!
 
Mind you, Zitto, the issue here is not your position with regard to oil, gas or nay other resource, but on the timing! is it the rightful time for you and anyone else to 'pour petroleum on the ongoing fire?' Does it not seem like you're instigating them (Islamist fundamentalists/zanzibaris) to further take their stand and that things would be at its worst?

The fire was there and will be as long as we will keep quite on burning issues in our beloved Union. We need people like Zitto who can stand and say whatever is right and that is the truth. No matter what they say about timing and so forth but the truth has already been told.
 
Zitto,
Surely everyone is entitled to his/her opinion. But any policy opinion had to have some reasoning behind it. May be it would be better to let us know what was your reason(s) for the position you took, so that both your supporters and opponents might decide whether to agree or disagree with you.

Secondly, probably you can as well elaborate what you meant by the so called '
commercial level' and the 'upstream level'. Your policy views might hold water if clearly understood.

Hapo kwenye red
Commercial level is when the probable and proven resources are at a level that it makes economic sense to extract them (ie it is profitable to extract them).
Upstream level activities (for oil and gas) involve oil & gas exploration and then extraction activities. Unaweza tofautisha na Dowstream activities in a sense that the latter involve distribution and selling of final products of oil and gas.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom