TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

IMG_1878.JPG

Kamanda wa mauaji Iringa Michael Kamuhanda!
Eti mkuu wa polisi mkoani...kashiba rushwa hadi shati halimtoshi, shenzi type!
Hivyo vyeo hawapewi kwa merits.Huo mtumbo ni rushwa na ujambazi.I will bet my life on it!hata vyeo huwa wanapandishwa kwa mazingira ya ufanyaji kazi kama alivyofanya yeye.
 
Huu mkakati ya serikali kupitia polisi ni MKAKATI HATARI. ITS WHAT WE CALL BAD POLITICS!

Ni mkakati wa CCM wa kutaka kubaki madarakani milele hata kama wananchi wamewakataa. Hakukuwa na logic kuzuia mkutano wa CHADEMA mkoani Iringa wakati huohuo mkutano wa uzinduzi wa kampeni unafanyika Zanzibar
 
Dada Bajabiri inaelekea Arusha hukuangalia au ulikuwa unamlisha mtoto?

samahani PRINCESS PANGO,kumbe huajielewa post yangu,,,,,,,nadhan upo kwenye siku zako,,,,,rudia post hiyo,nashukuru kwa kunita BAJABIRI,AM A MAN,
ILA KWAKUA WEWE NI PRINCESS LAT ME B UR PRINCE
 
Hakika chadema nawasihi lazima kitu kifanyike, hii haikubaliki. Naamini kwa vichwa vyenu, this is too much....!
RIP my friend Mwangosi!
Maneno hayo hapo juu niliyasema wakati wa mauwaji ya Morogoro.Kwangu mimi it was already too much!
 
Dr Slaa aliposema nchi haitatawalika nilidhani ni jazba na hasira za kukosa urais ambao anauota siku zote,lakini sasa hivi ninapata picha kamili ya dhamira yake.Anatumia kila njia kuhalalisha ujambazi wake wa siasa kufikia malengo yake,shime watanzania tukatae siasa za aina hii, Dr Slaa ni Foday Sankoh mwengine anatoa kafara watu ili afanikiwe katika malengo yake.Nilishangaa kuona wanafanya party kwa mchungaji Msigwa baada ya mauaji ya Morogoro sitostaajabu sasa hivi akiwa anakunywa mvinyo kujipongeza kwa kifo cha Daudi Mwangosi.Roho za watanzania hawa zitakuandama popote uendako..
 
Inasikitisha sana sasa mtu kuhoji kwanini mwenzake amekapatwa anauwawa ukatili wa hali ya juu si anahaki ya kupata taarifa?
 
Inasikitisha sana!naona ccm imeingia rasmi kwenye siasa za umwagaji damu...ila wakae wakijua damu ya mtu haipotei ivi ivi ina tabia ya kulia,siku izi damu zikianza kulia sijui ata TZ ya leo kama tataiona tena..ccm acheni kuuwa raia sababu ya madaraka jamani
 
Hakika chadema nawasihi lazima kitu kifanyike, hii haikubaliki. Naamini kwa vichwa vyenu, this is too much....!
RIP my friend Mwangosi!

JK apelekwe The Hugue mara moja kwa kusababisha mauaji ya wananchi wake
 
Siwezi kuingia kwenye upolisi maana hawana akili.

huwez ingia kwakua una akili zako,,,,,wenzio wasokua na akili wameingia na ndo kazi wanayoifanya unaiona,,,,we si unaona mtu mzoma kama kova anadanganya kama mtoto wa std IV
 
Inabidi itumike nguvu ya umma ili Igp Mwema na waziri wa mambo ya ndani wajiuzuru bila hivyo mauaji yataendelea na pia tunataka vyombo huru sio polisi wanaua halafu wanajiundia wao tume Tanzania haiwezi kuwa nchi ya amani kama tunauana ovyo kwa kisingizio cha siasa
 
Nakosa maneno mepesi kwa sasa ya kuandika!.. Natokwa machozi!. R.I.P. David Mwangosi!.. Bado wewe ni Rafiki yangu popote ulipo!. We love you Bro!.
 
Nashauri waandishi wa habari muungane na wamiliki wa vyombo vya habari msiandike kabisa habari za Wizara ya Mambo ya ndani na zile za SSM. Kweli kifo hiki hakikuwa cha lazima, tear gas zilitosha tu kuwakimbiza hao CDM. Ogopeni damu, polisi, hizo damu zitawalilia. Mtalaanika. Naogopa mno kifo sembuse kuua. So sad.

Ili mradi kinachoendelea kwenye wizara mbalimbali ni UOZO kuliko mazuri yanayohitajika mwa manufaa ya wananchi, basi kususia kuandika habari za wizara ya mambo ya ndani ni sawa na kususia kuandika uozo wa wizara hiyo. Ni sawa na kuacha maovu ya wizara hiyo yaote mizizi. Ningekuunga mkono endapo ungesema kwamba sasa ni wakati wa vyombo vya habari kuuvalia njuga uozo wa wizara hiyo na kuuanika kila uchao. Kwamba, kila toleo litokalo, basi ndani ni uozo wa wizara hiyo!
 
Mwanakijiji aliwahi kuilalamikia Chadema kwa kutochukua hatua juu ya mauaji yanayofanyika kila kukiwa na mikutano yao! Manake it seems Chadema wakiomba kibali cha mkutano tu, polisi wanatia mafuta na kusafisha bunduki zao!
Kwa kweli ni wakati wa kuchukua hatua!

ni kweli mkuu yani bila CHADEMA kuchukua hatua au ku-elaborate strategies juu ya hili basi polisi watazoea kuua watu.

RIP mwagosi.
 
Dr Slaa aliposema nchi haitatawalika nilidhani ni jazba na hasira za kukosa urais ambao anauota siku zote,lakini sasa hivi ninapata picha kamili ya dhamira yake.Anatumia kila njia kuhalalisha ujambazi wake wa siasa kufikia malengo yake,shime watanzania tukatae siasa za aina hii, Dr Slaa ni Foday Sankoh mwengine anatoa kafara watu ili afanikiwe katika malengo yake.Nilishangaa kuona wanafanya party kwa mchungaji Msigwa baada ya mauaji ya Morogoro sitostaajabu sasa hivi akiwa anakunywa mvinyo kujipongeza kwa kifo cha Daudi Mwangosi.Roho za watanzania hawa zitakuandama popote uendako..
Mkuu think twice before you say anything what you have said isnt correct as far as common sense is concerned.
 
huo ni unyama ushenzi na ukatili unaofanywa na Jeshi la polisi tz. na kikwete atamyamaza kimya kama hayuko vile:eek2:
 
Inabidi itumike nguvu ya umma ili Igp Mwema na waziri wa mambo ya ndani wajiuzuru bila hivyo mauaji yataendelea na pia tunataka vyombo huru sio polisi wanaua halafu wanajiundia wao tume Tanzania haiwezi kuwa nchi ya amani kama tunauana ovyo kwa kisingizio cha siasa

rodrick,,,,,mfumo tu ndo unaosumbua,,,mauaji hata enzi ya mkapa yalikuwepo,umesahau wazenj walivokua wakilambishwa risas hadi wakawa wakimbizi chini ya MAHITA????na mkapa wake,pamoja na ali ameir,????haya yanayoendelea leo ni mwendelezo hakuna jipya hapa,tukija mauaj ya mwembe chai nayo usiseme,,,,,me siwashangia polisi,na naamin wizara iataongea kidogo mambo yataendelea
 
Back
Top Bottom