Iringa: Mke wa Mtu na Mume wa Mtu wafia Mgahawani wakiwa uchi

"Wengine wanahisi labda walikuwa wanafanya mapenzi lakini hatuna uhakika maana ndani hakuna kitanda labda walifanyia sakafuni au juu ya meza,"

Hii statement imenichekesha, wamejiuliza na kujijibu wenyewe,

Nimekumbuka wimbo wa Jay Melody alisema "mkeka, busati sio kila siku godoro..."
Mtu kashikishwa mabanzi ili achore saba hewani..!!
 
Back
Top Bottom