Iringa kwachafuka: FFU watumia mabomu, waandishi wapigwa mawe

Mpaka sasa pamoja na matukio yote ktk picha,Je? Kuna mwenye kujua kama wale misukule wameonekana? Je? Yule mama aliyeambiwa na yule mama akamchukue mtoto wake kwani hajakatwa ulimi bado,je? Alimkuta mtoto wake akiwa mzima. Je? Mme wa huyo mama yupo hai? Kwa anayejua atujuze wajamen!
 
Kitu cha kusikitisha sana ni kua bado asilimia 99% ya watu wanaamini upuuzi huu wa ushirikina. Hii yoote ni pamoja pamoja na maongezeko ya elimu / mtandao an amawasiliano . Na chakusikitisha zaidi wengi humu JF wana sapoti udhalimu huu wa Wanaofanya fujo na kutaka kumuuwa mtu kwa sababu ya hizi tuhuma zisizo na kichwa wala miguu. Polisi hapa nadhani wamefanya wajibu wao ambao wanatakiwa siku zote kufanya wa kulinda wananchi na mali zao.
Nawahakikishia hakuna Atakae ona au kukuta hivyo visuka / mitunge !! Achani fikira hizi na angalieni maendeleo yetu na ya nchi.

Devil must be laughing in hell on how stupit we are.
 
ukweli unauma
 
Halafu hii ishu mi naisikia nikiwa kazini kama utani vile,pia na sikia huyo Mama mbilinyi alipata kitu kama uchizi,akaanza kupayuka hadharani kwamba kuna watu aliowaweka ndani kama misukule.Kama haitoshi,alidiriki kumwambia mama mmoja kwamba mwanae aliyekufa kwa kugongwa na gari hakufa kweli bali yeye amemchukua msukule na akamwambia yule mama aende akamchukue mwanae nyumbani kwake kwani bado hajamkata hata ulimi.Cha ajabu inasemekana huyu Mama Mbilinyi ni mmiliki wa redio maarufu ya kidini hapa mjini Iringa,OVERCOMERS FM!

Kama unayoyasema hapa ni kweli basi tuna matatizo makubwa sana. Mama huyu unasema anamiliki kituo cha radio na ni muumini mzuri wakati huo huo anamisukule kwa kujitangaza mwenyewe. naomba walio karibu nae wawashauri polisi huyu mama akapimwe akili ili ijulikane kama haya aliyoyasema ni kweli au la
 
DSCF1673.JPG
DSCF1667.JPG
DSCF1666.JPG
DSCF1681.JPG
DSCF1643.JPG
DSCF1652.JPG

VURUGU ZA WANANCHI IRINGA,ASKARI NA WAANDISHI WAJERUHIWA VIBAYA

Zaidi ya watu 10 wakiwemo askari wanne na wanahabari wamejeruhiwa huku baadhi yao wakitibiwa na kuruhusiwa na wengine kulazwa katika Hospital ya mkoa wa Iringa baada ya kuibuka kwa mapigano hayo kati ya polisi na wananchi ,mapigano ambayo yametokana na imani potofu za wananchi katika kuamini ushirikina.Wananchi hao zaidi ya 200 walivamia nyumba ya mzee wa kanisa moja la kilokole katika mji wa Iringa eneo la Frelimo jina limehifadhiwa kwa sababu za kimaadili

Hata hivyo pona ya wanahabari na polisi waliokuwa wamefungiwa ndani ya nyumba hiyo na kushambuliwa kwa mawe na kunusurika kuteketezwa kwa moto wakiwa ndani ya nyumba hiyo ilionekana baada ya askari polisi wa FFU kutumia mbinu kubwa ya kulazimika kutumia risasi ya moto kumshambulia mguuni mmoja kati ya watu wanaodaiwa kutaka kuongoza wengine kuichoma moto nyumba hiyo iliyokuwa na wahahabari ndani ,polisi na mchungaji mmoja.

Baadhi ya wananchi wamelipongeza jeshi la polisi mkoa wa Iringa kwa kuokoa maisha ya wanahabari hao na watu wengine zaidi ya 10 ambao walipaswa kuuwawa na wananchi hao .

Wananchi hao walionekana kuongezeka idadi baada ya FFU kuwatisha kwa mabomu ya machozi huku wakidai kuwa mabomu hayo hayaui na bila polisi kupata mbinu ya haraka ya kutumia risasi ya moto zaidi ya watu hao 10 wakiwemo wanahabari waliokuwa ndani ya nyumba hiyo wangekuwa wameuwawa na wananchi hao ambao waliondoa imani na kikosi hicho kuwa wamehusika kuificha misukule hiyo.
 
Duh! poleni Iringa na wana habari.... Lakini hizo ni dalili ya watu kuchoka na maisha magumu yanayosababishwa na serikali ya CCM.
 
DSCF1673.JPG
DSCF1667.JPG
DSCF1666.JPG
DSCF1681.JPG
DSCF1643.JPG
DSCF1652.JPG

VURUGU ZA WANANCHI IRINGA,ASKARI NA WAANDISHI WAJERUHIWA VIBAYA

Zaidi ya watu 10 wakiwemo askari wanne na wanahabari wamejeruhiwa huku baadhi yao wakitibiwa na kuruhusiwa na wengine kulazwa katika Hospital ya mkoa wa Iringa baada ya kuibuka kwa mapigano hayo kati ya polisi na wananchi ,mapigano ambayo yametokana na imani potofu za wananchi katika kuamini ushirikina.Wananchi hao zaidi ya 200 walivamia nyumba ya mzee wa kanisa moja la kilokole katika mji wa Iringa eneo la Frelimo jina limehifadhiwa kwa sababu za kimaadili .

Hata hivyo pona ya wanahabari na polisi waliokuwa wamefungiwa ndani ya nyumba hiyo na kushambuliwa kwa mawe na kunusurika kuteketezwa kwa moto wakiwa ndani ya nyumba hiyo ilionekana baada ya askari polisi wa FFU kutumia mbinu kubwa ya kulazimika kutumia risasi ya moto kumshambulia mguuni mmoja kati ya watu wanaodaiwa kutaka kuongoza wengine kuichoma moto nyumba hiyo iliyokuwa na wahahabari ndani ,polisi na mchungaji mmoja . Baadhi ya wananchi wamelipongeza jeshi la polisi mkoa wa Iringa kwa kuokoa maisha ya wanahabari hao na watu wengine zaidi ya 10 ambao walipaswa kuuwawa na wananchi hao .

Wananchi hao walionekana kuongezeka idadi baada ya FFU kuwatisha kwa mabomu ya machozi huku wakidai kuwa mabomu hayo hayaui na bila polisi kupata mbinu ya haraka ya kutumia risasi ya moto zaidi ya watu hao 10 wakiwemo wanahabari waliokuwa ndani ya nyumba hiyo wangekuwa wameuwawa na wananchi hao ambao waliondoa imani na kikosi hicho kuwa wamehusika kuificha misukule hiyo.

Umaskini,ujinga na kukosa ajira kunapelekea wananchi kujikita ktk maswala yasiyo na msingi.
 
WanaJf ni iringa hapa mitaa ya frelimo watu wamejazana sana kwenye nyumba ya mama mmoja wanadai kuna misukule imekutwa amefungia kwenye moja ya chumba katika nyumba yake,inasemekana wananchi walitaka kumpiga mama huyo na hivyo polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya,naona kwa mbali jamani mwembetogwa huku zinapita gari za polisi tu na ving'ora juu aliyepo karibu atujuze tafadhali

Kaa makini hapo maana misukule hiyo ndiyo walinzi wa Anna Makinda!!!
Bunge limechafuka kwa hiyo kazi iliyopo ni kuipeleka misukule huko!!!

Mda si mrefu utasikia king'ora Bagamoyo!!
 
Kitu cha kusikitisha sana ni kua bado asilimia 99% ya watu wanaamini upuuzi huu wa ushirikina. Hii yoote ni pamoja pamoja na maongezeko ya elimu / mtandao an amawasiliano . Na chakusikitisha zaidi wengi humu JF wana sapoti udhalimu huu wa Wanaofanya fujo na kutaka kumuuwa mtu kwa sababu ya hizi tuhuma zisizo na kichwa wala miguu. Polisi hapa nadhani wamefanya wajibu wao ambao wanatakiwa siku zote kufanya wa kulinda wananchi na mali zao.
Nawahakikishia hakuna Atakae ona au kukuta hivyo visuka / mitunge !! Achani fikira hizi na angalieni maendeleo yetu na ya nchi.

Devil must be laughing in hell on how stupit we are.
Huwezi kupinga Ushirikina kama Anna Makinda anaamini katika Kondoo!!!
Angalia Albino wanauawa je hapo sio Ushirikina??
Kiungo kimoja Cha Albino ni zaidi ya mamiliion , Je Mwananchi wa Kawaida anaweza kununua??

Wabunge , Mawaziri ndio wateja wakubwa !!!
Ndio maana hali ya kisiasa ikichafuka Albino wanaanza kuawa!!!

Angalia ni Wabunge ,Mawaziri , wakuu wa mikoa ,Wangapi walikwenda Loiondo???

Je hapo unaweza kuwa Jasiri ukasema watu hawana akiri???

Kumbuka Wateja wa Sheh Yahya ,alipokufa Mkuu wa nchi aliahirisha safari kuja kumuzika, lakini Jairo alipoiba mkuu huyohuyo akakaa kimyaaaaaaa!!!!!!

DSCF1673.JPG
DSCF1667.JPG
DSCF1666.JPG
DSCF1681.JPG
DSCF1643.JPG
DSCF1652.JPG

VURUGU ZA WANANCHI IRINGA, ASKARI NA WAANDISHI WAJERUHIWA VIBAYA

Zaidi ya watu 10 wakiwemo askari wanne na wanahabari wamejeruhiwa huku baadhi yao wakitibiwa na kuruhusiwa na wengine kulazwa katika Hospital ya mkoa wa Iringa baada ya kuibuka kwa mapigano hayo kati ya polisi na wananchi ,mapigano ambayo yametokana na imani potofu za wananchi katika kuamini ushirikina. Wananchi hao zaidi ya 200 walivamia nyumba ya mzee wa kanisa moja la kilokole katika mji wa Iringa eneo la Frelimo jina limehifadhiwa kwa sababu za kimaadili .

Hata hivyo pona ya wanahabari na polisi waliokuwa wamefungiwa ndani ya nyumba hiyo na kushambuliwa kwa mawe na kunusurika kuteketezwa kwa moto wakiwa ndani ya nyumba hiyo ilionekana baada ya askari polisi wa FFU kutumia mbinu kubwa ya kulazimika kutumia risasi ya moto kumshambulia mguuni mmoja kati ya watu wanaodaiwa kutaka kuongoza wengine kuichoma moto nyumba hiyo iliyokuwa na wahahabari ndani ,polisi na mchungaji mmoja . Baadhi ya wananchi wamelipongeza jeshi la polisi mkoa wa Iringa kwa kuokoa maisha ya wanahabari hao na watu wengine zaidi ya 10 ambao walipaswa kuuwawa na wananchi hao .

Wananchi hao walionekana kuongezeka idadi baada ya FFU kuwatisha kwa mabomu ya machozi huku wakidai kuwa mabomu hayo hayaui na bila polisi kupata mbinu ya haraka ya kutumia risasi ya moto zaidi ya watu hao 10 wakiwemo wanahabari waliokuwa ndani ya nyumba hiyo wangekuwa wameuwawa na wananchi hao ambao waliondoa imani na kikosi hicho kuwa wamehusika kuificha misukule hiyo.
Kazi ya misukule na majini ni kuleta vurugu ili umwagaji damu utokee, ili watu washindwe kufuatilia mswaada wa katiba na kujiingiza kwenye mapigano kama haya!!!

Cha kushangaza hata wachawi nao walikuwa wanarusha mawe kwenye nyumba hiyo!!!
Mambo ya aibu lakini hata Waislamu huwa wanamupiga shetani Makka!!!
Hapa kunahaja ya watu kutambua nani ni nani????
 
Back
Top Bottom