IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

Jibu ni 26
Pair of shoes =10
Pair of filimbi = 4
Single filimbi = 2
Mtu na filimbi = 5
Mtu bila filimbi = 3
Pair of shoes (10)+ mtu bilai filimbi (3)xfilimbi(2) = 26

Vizuri lakini mwishoni anza kuzidisha kabla hujajumlisha utapata 16.
MAGAZIJUTO
 
Vizuri lakini mwishoni anza kuzidisha kabla hujajumlisha utapata 16.
MAGAZIJUTO
Hayo MAGAZIJUTO Mungu anayaona. Tangu la 5 hadi leo hii siyaelewi, na yamechangia mm kuichukia hisabati. Hivi mantiki yake ni kuwa unafanya hizo operation kwa mlingano wa hizo silabi au ni vipi mkuu?
 
ecfac7969f8b83a70a79dc81813c82e6.jpg
Wote mnakaribishwa.
Ipo hivii kila pea ya viatu ina alama 10

Kila picha ya mtu pamoja na tai yake yenye alama ya filimbi ina thamani alama 5

Kila filimbi ina thamani ya alama 4

Kumbuka picha ya chini kabisa ukiiangalia kwa makini pekee ndio haina alama ya filimbi hvyo kama picha yenye tai filimbi ina thamani ya alama tano ina maanisha hiyo picha ya mtu isiyo na tai ya filimbi ina alama 1

Kwa maana hiyo basi jibu ni

10+1+4= 15 so jibu hapo ni 15

Hii hesabu haihitaji mlolongo mreefu wa mafomula kibao ni kitu kidogo kimejificha hapo angalia picha kwa makini utajua

Thanks
 
Back
Top Bottom