lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,550
- 1,987
22.5
Ah!we JF member kwanza shikamoo alafu swali lako ni Baba mkwe kwa watanzania wengi nikiwemo mimi yaani sawa na kuruka sarakasi ukweni wakati umevaa taulo ukiwa uchi.Obviously its 20
View attachment 692166
60Umekosa mkuu . Angalia vzr utapata
Jibu ni 26
Pair of shoes =10
Pair of filimbi = 4
Single filimbi = 2
Mtu na filimbi = 5
Mtu bila filimbi = 3
Pair of shoes (10)+ mtu bilai filimbi (3)xfilimbi(2) = 26
aisei kweli filimbi ya mwisho iko 1 jibu itakuwa 30Kumbe filimbi ya mwisho ipo moja!? jibu ni 30 asee√
Umepata kiongozi hakika upo vizuri IQ15 mkuu
Hayo MAGAZIJUTO Mungu anayaona. Tangu la 5 hadi leo hii siyaelewi, na yamechangia mm kuichukia hisabati. Hivi mantiki yake ni kuwa unafanya hizo operation kwa mlingano wa hizo silabi au ni vipi mkuu?Vizuri lakini mwishoni anza kuzidisha kabla hujajumlisha utapata 16.
MAGAZIJUTO
Ipo hivii kila pea ya viatu ina alama 10Wote mnakaribishwa.