Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Kama vina make sense ndo unasaliti.
hapana siwezi kusaliti nlikuwa nachangia mada tu
Kama vina make sense ndo unasaliti.
Oh My darling BADILI TABIA. Hivi wajua navokupenda? Nakwambia tena kama ulishawahi pendwa basi hakuna aliyetokea kukupenda kama navyokupenda mimi.
Nakonda kwa mawazo kwa ajili yako,
Usiku silali nakuwaza wewe,
Nikimwona mwanamke yanijia taswira yako,
Nikinywa maji nakuona kwenye glasi,
Yani BT, huwezi amini kohozi lako kwangu mie ni siagi.
Nikubalie basi nije kwa wazazi wako,
Nikutolee posa nikuoe....
Ukinikatalia sitooa asilani,
Ntakonda kwa mawazo.
Naomba unikubalie mtoto wa mwanamke mwenzio
Unipe nafasi nikudhihirishie penzi langu kwako.
Nakuahidi hutajuta kuwa nami bali utajuta kuchelewa kunijua...............
Nasubiri jibu lako mpenzi (Huku mkono uko mfukoni umeshikilia nyoka aliyekasirika asije akaniumbua)
yaaan nshapona! hapa nanenepa sasa!!
una bahati shosti usimuamshe muache alale asije akakuaga enda matembezi
We,
ila namuamini sana,hawezi nichezea rafu.
hapana siwezi kusaliti nlikuwa nachangia mada tu
Mi najua huwezi ma dia...kivazi cha leo ni noma.
We,
ila namuamini sana,hawezi nichezea rafu.
Oh My darling BADILI TABIA. Hivi wajua navokupenda? Nakwambia tena kama ulishawahi pendwa basi hakuna aliyetokea kukupenda kama navyokupenda mimi.
Nakonda kwa mawazo kwa ajili yako,
Usiku silali nakuwaza wewe,
Nikimwona mwanamke yanijia taswira yako,
Nikinywa maji nakuona kwenye glasi,
Yani BT, huwezi amini kohozi lako kwangu mie ni siagi.
Nikubalie basi nije kwa wazazi wako,
Nikutolee posa nikuoe....
Ukinikatalia sitooa asilani,
Ntakonda kwa mawazo.
Naomba unikubalie mtoto wa mwanamke mwenzio
Unipe nafasi nikudhihirishie penzi langu kwako.
Nakuahidi hutajuta kuwa nami bali utajuta kuchelewa kunijua...............
Nasubiri jibu lako mpenzi (Huku mkono uko mfukoni umeshikilia nyoka aliyekasirika asije akaniumbua)
Tena suti yako leo nataka niifue.yehuuuuuuu taswira nimeipata hubby wangu...
ila siri ya familia...
nitakunong'oneza tukiwa wenyewe kwenye suti zetu za kuzaliwa...loh...
thanks wifi!! we mlishe kaka ashibe!!!!!!twakukaribisha lunch wifi
thanks wifi!! we mlishe kaka ashibe!!!!!!
nimemuona!! hata we kaka angu sku hizi sio mchezo!!! mashaallah wifi anajitahd!!Uwe una mwambia...si unaona alivyopendeza hapo juu...
mwanamke kujiamini. Aende wapi na keshafika hapo
Ha ha ha ha ha....
Kwanza nafikiria huyu ni walewale tu au kashanitamani thn nampima kama ni dhaifu ntamtupia makombora mpaka mwenyw atanionea aibu na kusepa kama yuko challenging hapo ni kuhakikisha challenge zote nazicounter kiakili na kidiplomasia!!!