Ipi taswila hujengeka Pindi unapo tongoza ama kutongozwa.....

Nashanga,Hana pa kwenda,labda Officini.
Me ndo Madame B bhana,
ukiona mwingine jua huyo ni mtoto wa nje.
Arabela shosti,lazima tuwakomeshe wanaoiba mali zetu,
tutawageuza nyau kazi yao itakuwa kulilia samaki kutwa kucha.

tena atakaejipendekeza twampa kipigo cha paka mwizi. Tuwapendezeshe wao wale bure kasema nani?
 
Last edited by a moderator:
tena atakaejipendekeza twampa kipigo cha paka mwizi. Tuwapendezeshe wao wale bure kasema nani?

Ndo hapo chacha,
ila wanaume nao hata hawanogi,
unamfulia,unampikia,unamuogesha,unamtunza,unamfanyia kila kitu kilicho chema lakini bado atatoka kutafuta wanawake wengine.
ruttashobolwa nisikie ninayosema hapa.
Nikikusikia una mwanamke nje,ujue patachimbika.
 
Last edited by a moderator:
Mh!! Sina kumbukumbu nzuri,
Hv wewe ni yule wa Dar,Dom,TA,AraChuga,RockCTY,Mbya,Irng au wa wapi?
Hebu nikumbushe..!!!
Ninaweza kukukumbuka.

Mh ngoja nifikirie,huo kote ulikosema ni maeneo yangu ya kujidai ,ila usijekuwa Zaituni wa Chumbageni aliyenisingizia mimba....
 
Back to topic,mi kila ninapotongoza huwa akili yangu yote inafikiria kama ataweza kuihimili baiolojia yangu.....
 
Mimi naendelea kukusanya ushahidi.
Walatini wanasema qudo proque(nothing goes for nothing)

Naomba ushahidi huu usitumike katika

(a)Kukataa uzao wako,
(b)kuleta mafarakano katika unyumba,
(c)kutoa talaka,

Vinginevyo nitaungana na Madame B kukuburuza
mahakamani kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia..
 
Last edited by a moderator:
Naomba ushahidi huu usitumike katika

(a)Kukataa uzao wako,
(b)kuleta mafarakano katika unyumba,
(c)kutoa talaka,

Vinginevyo nitaungana na Madame B kukuburuza
mahakamani kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia..

Yote hayo umeyataka mwenyewe St. Paka Mweusi!!!
Na nikipewa talaka tu,ujue nitakuwa mgeni wako,kwa muda wote wa maisha yangu yaliyobaki ya duniani.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naendelea kukusanya ushahidi.
Walatini wanasema qudo proque(nothing goes for nothing)

Hv hujui kama Mtakatifu Paka Mweusi anakudanganya?
Eti anakupima imani.
Hubby wangu,usimsikilize,
njoo tule bata honey,leo twende ChaNg'Feng Grill tukale nyama.
 
Hapa wadau naomben ukweli,Ni picha ipi inayojijenga ndani Bongo zetu pindi unapo tongoza au kutongozwa.....
Kwa Mwanamke unapotöngozwa kichwani mwako huwaza nini kikubwa?
Kwa mwanaume unapotongoza huwa umejenga taswira gani mpaka uchukue uamuzi huo mbali na neno Nakupenda.
Tiririkeni.

mara nyingi kama namtongoza mwanamke huwa namchukulia taswira kama yuko uchi vile,nakua nimemvua nguo zote nakua na mawazo ya ngonongono tu.!
 
mara nyingi kama namtongoza mwanamke huwa namchukulia taswira kama yuko uchi vile,nakua nimemvua nguo zote nakua na mawazo ya ngonongono tu.!

Kudadadadadadeki..!!!!
Ushindwe ktk jina la Yesu.
 
Sikusanyi ushahidi wa kupeleka nyumbani bali wakupeleka mahakamani!

Utakuwa na kazi ya ziada kuishawishi mahakama au baraza la wazee kama huna maslai kwenye kesi tajwa kama utaungana na wangu(Madame B)

Naomba ushahidi huu usitumike katika

(a)Kukataa uzao wako,
(b)kuleta mafarakano katika unyumba,
(c)kutoa talaka,

Vinginevyo nitaungana na Madame B kukuburuza
mahakamani kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia..
 
Last edited by a moderator:
Usijali wangu!
Mwache ani danganye tu!
Lakini anatakiwa ajue
mahakamani hakuna maneno kama
1. Nilikuwa natania
2. Nilikuwa nadanganya
3.sikujua
4. Naomba unisamehe
Hv hujui kama Mtakatifu Paka Mweusi anakudanganya?
Eti anakupima imani.
Hubby wangu,usimsikilize,
njoo tule bata honey,leo twende ChaNg'Feng Grill tukale nyama.
 
Kudadadadadadeki..!!!!
Ushindwe ktk jina la Yesu.
Amen Madaeme B.... Kama unaumbo kubwa nakua nakukadiria kukushikashika mipajazi kama mwembamba nakua nawaza kukukunjakunja magoti yakutane na uso.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom