Ipi taswila hujengeka Pindi unapo tongoza ama kutongozwa.....

tena atakaejipendekeza twampa kipigo cha paka mwizi. Tuwapendezeshe wao wale bure kasema nani?

My arabela ntaanza kukupa technics za wudang mountains huko tunajifunza style moja tu,ambayo ni Tai Chi...ntakufundisha 3 kati ya technics 360 ,.utakuwa umekwiva...
 
Kabla cjachangia. jamani me napita tu dar nimeshangaa sana huu mji kumbe huko mikoani watu tunaishi sayari nyingine yani katikati ya mji live unatembea wala sio kwamba umekaa au kusimama pahala, mbaba anakutongoza na no ya simu anaomba halafu na nyie wakaka kuita shemegi mtu yuko kwenye foleni tena anashout.yani nikiondoka nina ya kuhadithia.
O.k nikitongozwa huwa najua tu kanitamani i never take a time even to reply a greetings to unknown
 
Yote hayo umeyataka mwenyewe St. Paka Mweusi!!!
Na nikipewa talaka tu,ujue nitakuwa mgeni wako,kwa muda wote wa maisha yangu yaliyobaki ya duniani.

Dah,nitashukuru kweli ikiwa hivyo
ngoja nianze kuchangisha kwa ndugu
jamaa na marafiki ili siku ukifika tu niwe
tayari nina mtaji wako wa mama Lishe hapa
jirani wanapofyatulia matofali..
 
Dah,nitashukuru kweli ikiwa hivyo
ngoja nianze kuchangisha kwa ndugu
jamaa na marafiki ili siku ukifika tu niwe
tayari nina mtaji wako wa mama Lishe hapa
jirani wanapofyatulia matofali..

Ushindwe na ulegee,
kwa Rutta wangu ni full raha mustarehe.
Nani umpikilishe mama Ntilie?
Shindwa.
 
Yote hayo umeyataka mwenyewe St. Paka Mweusi!!!
Na nikipewa talaka tu,ujue nitakuwa mgeni wako,kwa muda wote wa maisha yangu yaliyobaki ya duniani.

Dah,nitashukuru kweli ikiwa hivyo
ngoja nianze kuchangisha kwa ndugu
jamaa na marafiki ili siku ukifika tu niwe
tayari nina mtaji wako wa mama Lishe hapa
jirani wanapofyatulia matofali..
 
Mdogo wangu upo??
Unatisha na makombora juu!!!
Ila Lazima waipatepate,
Chezeiya!!!
Nipo my dada kipenzi!!usitishike sana si unajua tena lazma ujipange maana siku zote tunachukuliwa ni viumbe dhaifu sio kama ****** lakini lol!!!
 
My arabela ntaanza kukupa technics za wudang mountains huko tunajifunza style moja tu,ambayo ni Tai Chi...ntakufundisha 3 kati ya technics 360 ,.utakuwa umekwiva...

yaani my hubby ntashkuru mana yataka kugangamara bila hivyo naweza pokonywa tonge mdomoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom