Iphone users

ChelseaBlue

Senior Member
May 22, 2011
148
43
wakuu mnaotumia Iphone tujaribu kupeana maujanja hapa pamoja na kubadilishana applications na Intel kuhusu ios..
mimi natumia 3GS na mpaka sasa nimefanikiwa kuweka hivi hapa.

photo mail,
celeste bluetooth file sharing (natuma na kupokea files via bluetooth kwa simu zote, computer na ipod),
bite sms kwaajili ya push for messeges,
anyring kwaajili ya ringtones, message tones email tones from itunes bila kufanya conversion,
dock,
Action Menu with Speed Intensifier, Multiflow,
IphoneDelivery,
backgrounder kwaajili ya kuRun applications kwenye background,
Instalous kwaajili ya kudownload application yeyote iliyopo kwenye app store bure,
Ibook reader kwaajili ya kusoma vitabu,
Android Loader inabadilisha interface kuwa kama Android OS,
MyWi for wifi tehtering,
BytaFont kubadilisha system font style,
Games Ace combat, Fifa 11 EA Sorts, Golf, Fast Five...etc,
VLC player, Buzz Player na Video stream,
FingerPrint security na Phone Tracker..
DreamBoard

IMG_0226.PNG IMG_0227.PNG IMG_0228.PNG IMG_0229.PNG IMG_0230.PNG IMG_0231.PNG
 
Softwares una download kutoka link gani? Tupe maujanja mkuu.
wakuu mnaotumia Iphone tujaribu kupeana maujanja hapa pamoja na kubadilishana applications na Intel kuhusu ios..mimi natumia 3GS na mpaka sasa nimefanikiwa kuweka hivi hapa.photo mail,celeste bluetooth file sharing (natuma na kupokea files via bluetooth kwa simu zote, computer na ipod),bite sms kwaajili ya push for messeges,anyring kwaajili ya ringtones, message tones email tones from itunes bila kufanya conversion,dock,Action Menu with Speed Intensifier, Multiflow,IphoneDelivery,backgrounder kwaajili ya kuRun applications kwenye background,Instalous kwaajili ya kudownload application yeyote iliyopo kwenye app store bure,Ibook reader kwaajili ya kusoma vitabu,Android Loader inabadilisha interface kuwa kama Android OS,MyWi for wifi tehtering,BytaFont kubadilisha system font style,Games Ace combat, Fifa 11 EA Sorts, Golf, Fast Five...etc,VLC player, Buzz Player na Video stream,FingerPrint security na Phone Tracker..View attachment 33300 View attachment 33301 View attachment 33302 View attachment 33303 View attachment 33304 View attachment 33305
 
Nashukuru sana kwa kuanzisha hii mada mimi nina tatizo moja ambalo nahitaji sana msaada wenu, ni kwamba nimefanikiwa kudownload some of the iphone apps kwenye itune, sasa tatizo linakuja pale ninapotaka kusync ili niweze kuzitumia kwenye simu.Nimebonyeza button ya kusync apps but inanipa alert ifuatayo;
Are you sure you want to sync apps? all existing apps and their data on the iphone will be replaced with apps from this itune library.

Sasa nimesita kukubali process iendelee kwa sababu nahofia nisije poteza apps ambazo tayari zipo kwenye simu na data zake kama contacts,music na n.k

Naomba msaada wenu wa kutatua hili tatizo kwa sababu nazihitaji sana hizi apps ili niweze kuzisync.Nimejaribu kudownload through phone but naona ni expensive.
Thanks in advance
 
Nashukuru sana kwa kuanzisha hii mada mimi nina tatizo moja ambalo nahitaji sana msaada wenu, ni kwamba nimefanikiwa kudownload some of the iphone apps kwenye itune, sasa tatizo linakuja pale ninapotaka kusync ili niweze kuzitumia kwenye simu.Nimebonyeza button ya kusync apps but inanipa alert ifuatayo;
Are you sure you want to sync apps? all existing apps and their data on the iphone will be replaced with apps from this itune library.

Sasa nimesita kukubali process iendelee kwa sababu nahofia nisije poteza apps ambazo tayari zipo kwenye simu na data zake kama contacts,music na n.k

Naomba msaada wenu wa kutatua hili tatizo kwa sababu nazihitaji sana hizi apps ili niweze kuzisync.Nimejaribu kudownload through phone but naona ni expensive.
Thanks in advance

mkuu usiumize kichwa hapo, ni ishu ndogo sana..

ukitaka kuSyncronise applications bila kufuta zilizopo kwenye simu fanya hivi,, connect simu na computer, fungua Itunes, then select hapo juu kwenye File, then select 'Transfer purchases from .....' hiyo ..... ni jina la Iphone yako,, baada ya hapa itacopy applications zote kwenda kwenye Itunes library,, then chagua apps alafu syncronise kama kawaida...NB. kama simu yako ipo Jailbroken kuna kisoftware cha kuongeza kwenye simu....

n8.jpg
 
Softwares una download kutoka link gani? Tupe maujanja mkuu.

sawa mkuu, ni hivi,, mimi Iphone Os yangu nimeJailbreak kwahiyo natumia cracked applications..kuna program inaitwa Installous inapatikana baada ya kufanya Jailbreak, kupitia Instalous naweza kudownload application yeyote kwenye simu hapo hapo..kuna links pia za kuDownload applications kupitia computer nazo pia natumia kudownload apps zenye size kubwa kupitia Pc..

1. apptrackr » home
2. http://iphonecake.com/appcake/en

u
naSearch applications kwenye search tab au waweza pia kuangalia kwa Category...



''when you go Mac' u never turn Back'............................... :dance::dance:
 
Mmeniacha ,wazee kuna baadhi ya apps mm huwa nadownload apple store na zina install direct kwa simu natumia za free tu
 
Naombeni mtu anisaidie namna ya kuondoa deadpixels,nimegoogle lakini options iliyoko ni kudownload game moja hivi ya kulipia na mm account yangu sio
 
Mmeniacha ,wazee kuna baadhi ya apps mm huwa nadownload apple store na zina install direct kwa simu natumia za free tu
kaka cha kufanya achana na apple store wananjaa saana wanataka hela kama we mwenyewe unaeza jailbreak your iphone ili udownload cracked apps for free from the mentioned links
 
Mmetusahau na sisi wenye Blackberry jamani. Tukumbukane hata kwa maujanja ya aina yoyote na siyo kwa wenye iPhone tu wanajamii
 
Na me pia naongezea baadhi ya app za cydia hasa tweaks za muhimu
AskToCall - hii inakuwezesha kuconfirm kupiga simu,sio ukibonyeza tu call inaenda hata kama ni bahati mbaya hasa ikiwa mfukoni afu haipo locked
ConfirmSMS -hii ni confirm tweak ya upande wa sms, ipo km asktocall
CallClear-hii inaruhusu to clear any call from recent tab(missed,received and diled calls)
ChatPic-this shows contact's photo in sms messages
CyDelete-to delete cydia application iliyopo kwenye menu ya iphone
FoldersInfolders-hii ina ruhusu ku add folders within folders
GridLock-place your icon anywhere in springboard(menu)
ifile-a file management app for iphone
iRetina-hii ni sbsetting theme ya ukweli sana ya iphone 4, ila unatakiwa uwe na sbsetting kwanza
LockdownPro- lock any app ya iphone km vile messege,photos etc...!
Safari Download Manager- hii ni download manager ya safari inadownload chochote kile,
snaptap-take photos with volume buttons
Synchronist- tumia simu yako huku ikiwa inafanya synchronization kwenye iTune
Tlert- reply and compose sms any where
 
dacta kaka hiyo yako ni noma,,yangu nimeweka dreamboard inafanya intergration ya BlackBerry Os user interface na Android Os Interface kwenye Iphone..kama hivi chini kwenye picha......

1. hii ni Page Pusher, inawezesha Navigation kwenye Iphone applications kuwa kama unafungua kitabu,,kila program settings, dial pad, na application zote...
c.jpg c1.jpg c2.jpg a.jpg

2. DreamBoard yenyewe na options zake za kuchagua Interface unayotaka.. ya (i) IOS Interface, (ii) BlackBerry HD interface, ya (iii) BlackBerry SD interface, ya (iv) Android Os interface....

a.jpg b.jpg

3. Operating Android Os Interface kwenye Iphone...

ab.jpg ab1.jpg ab2.jpg ab3.jpg

a.jpg b.jpg c.jpg d.jpg e.jpg

4. Operating BlackBerry HD kwenye Iphone..

a.jpg b.jpg e.jpg f.jpg g.jpg h.jpg

5. Operating BlackBerry SD Interface kwenye Iphone..

a.jpg b.jpg c.jpg b.jpg e.jpg f.jpg
 
du wazee yaan kutweak system files huwa naogopa sana..but mmenitamanisha sana kwa kweli,mi chache za cydia nlizonazo ni ACTIVATOR hii inakusaidia ku add commands kwnye ios,mfano unaweza kubonyeza status bar kurespring au kureboot au kutingisha iphone kulock/unlock,FAKE CARRIER pale kwnye carrier name unaeza hata ukaweka jina lako,5 COLUMN SPRINGBOARD hii unaongeza idad za icon icon kwnye Menu ziwe 5 badala ya 4.
 
6. Operating Windows Mobile Os kwenye Iphone..
 

Attachments

  • a.jpg
    a.jpg
    20.5 KB · Views: 38
  • b.jpg
    b.jpg
    21.6 KB · Views: 54
  • c.jpg
    c.jpg
    36.2 KB · Views: 39
  • d.jpg
    d.jpg
    72 KB · Views: 56
  • e.jpg
    e.jpg
    78.9 KB · Views: 36
  • f.jpg
    f.jpg
    59.7 KB · Views: 52
du wazee yaan kutweak system files huwa naogopa sana..but mmenitamanisha sana kwa kweli,mi chache za cydia nlizonazo ni ACTIVATOR hii inakusaidia ku add commands kwnye ios,mfano unaweza kubonyeza status bar kurespring au kureboot au kutingisha iphone kulock/unlock,FAKE CARRIER pale kwnye carrier name unaeza hata ukaweka jina lako,5 COLUMN SPRINGBOARD hii unaongeza idad za icon icon kwnye Menu ziwe 5 badala ya 4.

ndio mkuu, tena kwenye cydia ukikosea kidogo tu unaeza kuharibu simu,,,ila ndo kwenye vitu vingi humo, mimi natumia SBrotator inarotate springboard pande zote na pia unachagua number of applications per page, kwa mfano 20 applications kwa column 5, au wewe mwenyewe jinsi unavyotaka.....
a.jpg b.jpg
 
ndio mkuu, tena kwenye cydia ukikosea kidogo tu unaeza kuharibu simu,,,ila ndo kwenye vitu vingi humo, mimi natumia SBrotator inarotate springboard pande zote na pia unachagua number of applications per page, kwa mfano 20 applications kwa column 5, au wewe mwenyewe jinsi unavyotaka..... View attachment 34512 View attachment 34513
brake,android loader hai slow down system operations? Imenivutia kweli,
 
brake,android loader hai slow down system operations? Imenivutia kweli,

wala haislow simu, 600MHz za 3GS zina nguvu sana nacheza fifa 11 lina 934MB na linacheza vizuri tu halistuck hata kidogo..hyo loader ina kama 36MB haiAffect speed ya simu...sema kwenye cydia kuna Android loader nyingi, download ile ya kutumia na dreamboard...:grouphug:
 
Msaada kwa cc tusio wajuzi sana na simu tunazo kwa mfano yangu hata kudownload movie kutoka you tube inakataanaomba msaada
 
Back
Top Bottom