Iphone users

Msada wataalam! Nifanyeje ili niweze kitumia Bluetooth na simu nyengine?.
 
wala haislow simu, 600MHz za 3GS zina nguvu sana nacheza fifa 11 lina 934MB na linacheza vizuri tu halistuck hata kidogo..hyo loader ina kama 36MB haiAffect speed ya simu...sema kwenye cydia kuna Android loader nyingi, download ile ya kutumia na dreamboard...<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/grouphug.gif" border="0" alt="" title="Grouphug" smilieid="193" class="inlineimg" />
<br />
<br />
nimeinstall dreamboard na baada ya kurespring device yngu imeenda kwnye safe mode na hata baada ya kuireboot ikawa inagoma! Imebd niifute tu! I missed ol the fun!
 
<br />
<br />
nimeinstall dreamboard na baada ya kurespring device yngu imeenda kwnye safe mode na hata baada ya kuireboot ikawa inagoma! Imebd niifute tu! I missed ol the fun!
huwa inatokea hivyo sometimes, ngoja nikuangalizie jina la tweak yenyewe ili uiweke kwa uhakika kabisa...
 
jamani iphone yangu ukiweka line hairespond, stil inaandika insert sim card.!!! tatito linaweza kua wapi, ni mpya nmeitoa dukani...
 
Ndugu simu yako ipo jailbreaked?km ndio ndo unaweza pata muendelezo,km bado unatakiwa upate turtorial ya jailbreak
 
Habari wandugu jaman naomben msaada. Nina iPhone 3g bt nikaenda mahali kuingiza nyimbo. Kilichitokea kulikuwa na videos ktk cmu zikawa zinajirudia hata mara 3 nikaamua nifute kupunguza uwii zilizobaki hazitaki kuonyesha Niko hoi naumwa kwan nazipenda mdaadazionyeshe km. Kawaida pls msaada wadau?
 
wakuu mnaotumia Iphone tujaribu kupeana maujanja hapa pamoja na kubadilishana applications na Intel kuhusu ios..
mimi natumia 3GS na mpaka sasa nimefanikiwa kuweka hivi hapa.

photo mail,
celeste bluetooth file sharing (natuma na kupokea files via bluetooth kwa simu zote, computer na ipod),
bite sms kwaajili ya push for messeges,
anyring kwaajili ya ringtones, message tones email tones from itunes bila kufanya conversion,
dock,
Action Menu with Speed Intensifier, Multiflow,
IphoneDelivery,
backgrounder kwaajili ya kuRun applications kwenye background,
Instalous kwaajili ya kudownload application yeyote iliyopo kwenye app store bure,
Ibook reader kwaajili ya kusoma vitabu,
Android Loader inabadilisha interface kuwa kama Android OS,
MyWi for wifi tehtering,
BytaFont kubadilisha system font style,
Games Ace combat, Fifa 11 EA Sorts, Golf, Fast Five...etc,
VLC player, Buzz Player na Video stream,
FingerPrint security na Phone Tracker..
DreamBoard

View attachment 33300 View attachment 33301 View attachment 33302 View attachment 33303 View attachment 33304 View attachment 33305
ongeza na mobile terminal from cydia if u want to have full control of your iPhone
 
my guess is that your iPhone is locked you gotta unlock it to use itwith other carriers like voda,zantel,airtel etc...? ila its unfair warudishie dukani wakupe ambayo ni factory unlocked
 
Nimekwama! nisaidieni Wataalam, iphone 3g nime update software kutoka 4.1 kwenda 4.2 imekubali lakini imepoteza network, wapi nimekosea na ufumbuzi wake ni upi?
 
Nimekwama! nisaidieni Wataalam, iphone 3g nime update software kutoka 4.1 kwenda 4.2 imekubali lakini imepoteza network, wapi nimekosea na ufumbuzi wake ni upi?
kama umeJailbreak hiyo software ya 4.2 angalia namna ya kuUnlock kwa kutumia ultraSn0w kwenye page ya kwanza humu ndani..
 
Nimekwama! nisaidieni Wataalam, iphone 3g nime update software kutoka 4.1 kwenda 4.2 imekubali lakini imepoteza network, wapi nimekosea na ufumbuzi wake ni upi?
Ukiupdate angalia kama button ya airplane moe iko on.
 
Jamani iphone yangu ni 3gs version yake ni 3.1(7C144) nimejaribu mara kibao kui jailbreak with no success can anyone help?
 
Back
Top Bottom