iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

INAWEZEKANA JAMANI.
ZIPO NJIA NNE. TATU NI NGUMU KIDOGO LAZIMA UJUE UNACHOKIFANYA VINGINEVYO UKIKOSEA KIDOGO TU BASI UTAKUWA UMEZIKA IPHONE YAKO!!

NJIA AMBAYO NI RAHISI AMBAYO WENGI WANAITUMIA UNAWEZA KUPATA MAELEZO YAKE HAPA

Unlock iCloud Lock Permanently via IMEI Code on iPhone

UKIWA MAKINI UTAWIN

Unajua FBI imewachukua muda gani kupata data za iphone ya yule gaidi?
Achana na scam za mitandaoni mkuu so far ni hiyo iphone moja tu duniani ambayo imekua proved data zake kupatikana baada ya kuwa locked

Natumia data zake kupatikana kwasababu ile simu ilifunguliwa vipande vipande na wataalamu wakachukua chip zinazo hifadhi data ndio wakazitoa


Sasa unaposema inawezekana fafanua basi kitaalamu na sio maneno tu na link za scam
 
Wakuu mimi yangu ni 6s (64 gb). Sasa kabla ya hapo nilikuwa na iphone 4. Nimeuza kwa mtu ambae hajamaliza kulipa deni lake. Kwa hivyo icloud passoword ninaifahamu mimi. Nilimwambia ili nitoe akaunti yangu lazima amalizie malipo. Sasa kajifanya mjanja hatak kulipa pesa iliyobaki. Hawez ku download chochote na pia nimebadili password. Sasa nataka kuiblock simu. Nafanyaje?
 
Halafu hii 6s jamani ku update software yake inataka WiFi ya namna gani maana haieleweki kabisa. Inanitesa. Msaada plz
 
Wadau nataka iPad mwenye nayo tunafanye biashara fasta..

NB: iwe kwenye hali nzur na iwe inasapot line ya simu'
 
Unaweza....endapo kama nyimbo hizo zipo kwenye "apps" kama Whatsapp,viber, VLC na kadhalika...kwa mfano kwenye Whatsapp utaratibu ni ule ule wa kubonyeza kwa muda na kusubiri "options" zitokee...

Kwa apps nyinginezo, utachagua nyimbo then utaona option ya "open with"..Mimi natumia IOS 8.1,sijui ya chini ya hapo kama options zipo.

Ila kama nyimbo imeingia kupitia iTunes then haiwezekani.

Well said
 
Mbna swali langu hamna response au ni gumu sana

Nenda settings kisha icloud
Hapo utakuta option ya kutengeneza acc yako kama hiyo ipad yako haina account ya mtu mwingine

Vitu vingine ni rahisi sana kama uta google mkuu
 
Back
Top Bottom