iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

mt.j

JF-Expert Member
Dec 10, 2014
284
277
Kumekuwa na post nyingi kuhusiana na iphone, uzi huu ni maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za apple. Tupia maswali ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine.

HADI MUDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPELI, wataalamu karibuni.
 
nimekwenda kufunguliwa imegoma ww unaweza kama liko ndan ya uwezo wako call me 0712 888665

haliwezekan kma aly kuuzia unamfaham n yake mtafte akutolee kama uliuziwa ya kitaa itunze mpka tutakap skia watalam wamepata uvumbuz wa hli swala la i cloud tofaut na hapo kuna wadau wana nunua humu kama spea kwa ajil ya matengenezo ya simu za iphone watakutafuta
 
mmmhh mm nnayo 6+ hpa iko na I cloud

nimekwenda kufunguliwa imegoma ww unaweza kama liko ndan ya uwezo wako call me 0712 888665
Nafurahi sana kuona iphone wameweka security nzuri kwenye simu tofauti na android, dawa ya shida yako mrudishie mwenye nayo. Next time ukanunue dukani.
haliwezekan kma aly kuuzia unamfaham n yake mtafte akutolee kama uliuziwa ya kitaa itunze mpka tutakap skia watalam wamepata uvumbuz wa hli swala la i cloud tofaut na hapo kuna wadau wana nunua humu kama spea kwa ajil ya matengenezo ya simu za iphone watakutafuta
Na nnaomba mungu wasipate ufumbuzi kabisa, na nna waombea Mungu watengenezaji wa iphone wakomae na swala la security hivyo hivyo!!
wapi naweza unlock iphone 4 iliyofungwa kwa network za canada wazee
Wamesema hauiwezekani, na haiwezekaniki!! tafuta aliyekupa simu akupe password.
 
tusaidian jnsi ya kufungua apple acc bila kuwa na master card ama visa Paul S.S kama kuna option nyingine karibun tujadil#bavaria #MKWAWA mwagen maujuz yen
 
Last edited by a moderator:
tusaidian jnsi ya kufungua apple acc bila kuwa na master card ama visa Paul S.S kama kuna option nyingine karibun tujadil#bavaria #MKWAWA mwagen maujuz yen
Acc yangu nimefungua kitambo mkuu
Kwani hivi sasa wanalazimisha lazima uwe na master/visa card?

Hebu jaribu kuacha blank hicho kipengele
 
Last edited by a moderator:
kumekuwa na post nying kuhusiana na iphone, uzi huu n maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za aple. tupi maswal ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine
HADI MDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPEL wataalamu karibun

Hivi ni bora kununua iPhone bongo hapa hapa au kuagiza? Je vipi ubora wa iPhone 6 zinazopatikana kwenye iStore ya Mlimany City na kama kununua hapa TZ unashauri maduka gani yana iPhone au.vifaa vya apple vizuri.
 
Certified dealer wa apple mcity masaki shoppers na kwingine apple ni ile ile mkuu.
 
Hivi ni bora kununua iPhone bongo hapa hapa au kuagiza? Je vipi ubora wa iPhone 6 zinazopatikana kwenye iStore ya Mlimany City na kama kununua hapa TZ unashauri maduka gani yana iPhone au.vifaa vya apple vizuri.

Iphone ni iPhone tu hata ya tandale nayo ni iPhone, chakuangalia isiwe na I cloud
 
Back
Top Bottom