DON KILLUMINATI
Senior Member
- Jan 2, 2011
- 193
- 83
unafiki (kama wa pinda na albinos) - hapo alikuwa gongo la mboto kuwapa pole "wahanga" wa milipuko ya mabomu!
Don Killuminati...weka picha zinazoelezea maisha ya mtanzania harisi(mfano watu wanakunywa maji yasiyosalama,vijijini watu umeme wanauona miji'nguzo inapitisha umeme kuelekea migodini-ilihali vijiji vyao hamna umeme,maskini anavyolipa VAT bila yeye kujua anunuapo kiberiti dukani n.k) opposite to picha kama iyo.Unafiki mtupu...hasa analia/sikitika nini?unamaanisha anawaza unafiki?
Najuta kuwakubalia mafisadi kumwondoa Sitta kwenye hiki kiti.. Laiti ningejua ningemwacha Sitta aendelee na kiti chake!
Kazi ninayo, uspika mtamu japokuwa una karaha.