Ipe neno hii picha, anawaza nini?

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
ana+makinda.jpg
 
Unafiki (kama wa Pinda na Albinos) - Hapo alikuwa Gongo La Mboto kuwapa pole "wahanga" wa milipuko ya Mabomu!
 
unamaanisha anawaza unafiki?
Don Killuminati...weka picha zinazoelezea maisha ya mtanzania harisi(mfano watu wanakunywa maji yasiyosalama,vijijini watu umeme wanauona miji'nguzo inapitisha umeme kuelekea migodini-ilihali vijiji vyao hamna umeme,maskini anavyolipa VAT bila yeye kujua anunuapo kiberiti dukani n.k) opposite to picha kama iyo.Unafiki mtupu...hasa analia/sikitika nini?
 
Out of topic, hizo nywele na hiyo rangi ya kucha mmmmmmhhh. Anawaza bunge lilivyomkalia vibaya.
 
Mbona chama changu kinanipa matatizo mpaka nashndwa kufuata kanuni za uendeshaji bunge?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom