big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 398
- 1,059
Pia hii picha ina jambo la kusikitisha. Sasa hapo iwe ni press conference ya labda mbowe au zitto anataka kuchambua report ya CAG, hapo kutakuwa na mic 3 na waandishi wachache.
Kabisa mkuu, Watanzania tunapenda udaku kuliko vitu vya maana ndio maana mange kimambi amegundua hilo na kulipisha sh 2000 kila mwezi ili kupata udaku wa moto motoPia hii picha ina jambo la kusikitisha. Sasa hapo iwe ni press conference ya labda mbowe au zitto anataka kuchambua report ya CAG, hapo kutakuwa na mic 3 na waandishi wachache...
Ni kwel brother.Pia hii picha ina jambo la kusikitisha. Sasa hapo iwe ni press conference ya labda mbowe au zitto anataka kuchambua report ya CAG, hapo kutakuwa na mic 3 na waandishi wachache...
Kila kitu ni kazi ,wapo waliokuwa chawa kwa wazungu tangu ukoloni hata uhuru hawakutaka.mkishajazwa uwoga mwisho wa siku mnatengeneza ujinga na ujinga ukizidi unaleta unafki(chawa).
Hao wote unaowaona hapo wamemzunguka ni vijana YouTubers ambao wamehustle mtaani Ajira empty kazi empty wakagundua fursa ya YouTube kwamba ukiweka content unapata Pesa viewer's 1000 wanakulipa $0.97 hapo bado hujapewa matangazo, wakaona basi watumie hio fursa
100 % correctNi kwel brother.
Ndio maana binafsi, my instincts keep telling me mambo haya:
- kama unaweza, wekeza sana kwenye afya (maana now days vijana na jamii ina abuse sana afya kwa vinywaji vikali visivyothibitishwa, vijana wanakufa sana na wengi watakuja kuwa na shida sana katika mustakabali wa afya zao hivyo suala la uzalishaji litakua tatizo kwakua vijana ambao nguvu kazi local watakua na disqualification kwa kias kikubwa
- wekeza sana kwako na kwa wanao katika elimu bora yenye kuleta tija na mabadiliko. (Vijana na wasomi wa sasa wamekua wapumbavu sanaaaaaa na ndio matokeo haya kama kwenye picha hapo. Wenye akil sasa wawekeze sana kwenye maarifa yatakayokuja kuwa the game changer)
NB
Haya ndio matokeo ya elimu yetu. Ndio maana sometimes LIKUD Anaona ujinga watu kuwekeza mapesa mengi katika elimu hiz za kijinga jinga ambazo mwisho wa siku zinazalisha wapumbavu kama hawa wanaosumbuka na mkate wa kila siku badala ya big things
%80 Ya vijana wa tanzania ni hopless na wapumbavu na hii ni moja kat ya wikness inayowasaidia ccm kubaki madarakani; media za wajinga zinahoji wajinga zinapendwa na wajingaPia hii picha ina jambo la kusikitisha. Sasa hapo iwe ni press conference ya labda mbowe au zitto anataka kuchambua report ya CAG, hapo kutakuwa na mic 3 na waandishi wachache.
Kwa sababu watanzania tunafuatilia vitu vya kijinga hata hizo blog na tu tv twa online hatuoni haja ya kucover story ambazo zinawagusa watanzania.
Baada ya miaka 30 kwa mwendo huu hii itakuwa nchi ya ajabu kweli.
Hakika na kweli umesema vyemaNi kwel brother.
Ndio maana binafsi, my instincts keep telling me mambo haya:
- kama unaweza, wekeza sana kwenye afya (maana now days vijana na jamii ina abuse sana afya kwa vinywaji vikali visivyothibitishwa, vijana wanakufa sana na wengi watakuja kuwa na shida sana katika mustakabali wa afya zao hivyo suala la uzalishaji litakua tatizo kwakua vijana ambao nguvu kazi local watakua na disqualification kwa kias kikubwa
- wekeza sana kwako na kwa wanao katika elimu bora yenye kuleta tija na mabadiliko. (Vijana na wasomi wa sasa wamekua wapumbavu sanaaaaaa na ndio matokeo haya kama kwenye picha hapo. Wenye akil sasa wawekeze sana kwenye maarifa yatakayokuja kuwa the game changer)
NB
Haya ndio matokeo ya elimu yetu. Ndio maana sometimes LIKUD Anaona ujinga watu kuwekeza mapesa mengi katika elimu hiz za kijinga jinga ambazo mwisho wa siku zinazalisha wapumbavu kama hawa wanaosumbuka na mkate wa kila siku badala ya big things
tanzania tuu ni nchi ya watu wajinga
Hapa ujinga tu na upumbavu vya maana peleka Chamwino, Dodoma 😂Pia hii picha ina jambo la kusikitisha. Sasa hapo iwe ni press conference ya labda mbowe au zitto anataka kuchambua report ya CAG, hapo kutakuwa na mic 3 na waandishi wachache.
Kwa sababu watanzania tunafuatilia vitu vya kijinga hata hizo blog na tu tv twa online hatuoni haja ya kucover story ambazo zinawagusa watanzania.
Baada ya miaka 30 kwa mwendo huu hii itakuwa nchi ya ajabu kweli.
Huyo sio chawa... ni dalali wa magari na sasa kutokana na uongeaji wake, ucheshi na mpenzi kwa watu jina limekuwa na amekuwa brand influencer wa biashara mbalimbali.Hawa machawa wanapiga sana hela kwa ujinga ujinga tu
Unawasiwasi gani wakati kila siku wànazaliwa watoto mamia.- kama unaweza, wekeza sana kwenye afya (maana now days vijana na jamii ina abuse sana afya kwa vinywaji vikali visivyothibitishwa, vijana wanakufa sana na wengi watakuja kuwa na shida sana katika mustakabali wa afya zao hivyo suala la uzalishaji litakua tatizo kwakua vijana ambao nguvu kazi local watakua na disqualification kwa kias kikubwa
Ukweli unaouma 😔%80 Ya vijana wa tanzania ni hopless na wapumbavu na hii ni moja kat ya wikness inayowasaidia ccm kubaki madarakani; media za wajinga zinahoji wajinga zinapendwa na wajinga