Ipe neno hii picha, anawaza nini?

ana+makinda.jpg


Eeeh MWEE JAMANI, sijui itakuwaje km ushahidi wa Lema kuhusu Pm utakuwa wa kweli. Iiiih hawa wabunge wa CDM hawanipi usingizi jamani, nazidi kuzeeka wataniua kwa pressure. Ila dawa inabidi niwe mkali zaidi.
 
QUOTE=DON KILLUMINATI;1896900]
ana+makinda.jpg
[/QUOTE]

Duh!! huyu katibu Dr. Kashishila naye kaanzisha moto mwingine tena... mi sikumwambia aseme vile!!! sijui hivyo vyeti vya sheria nitavitoa wapi!!??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom